@motherchildwellness1: Maziwa ya mama humsaidia mtoto kupata virutubisho na kutoa bilirubin kupitia haja kubwa na mkojo. Mama anashauriwa kumnyonyesha mtoto mara 8–12 kwa siku na kuhakikisha anapata maziwa ya kutosha. Kumbuka: Manjano makali yanahitaji uchunguzi na matibabu ya kina.. Nasaidia watoto wenye changamoto za Ukuaji wasiliana na Dr Geaz kwa muongozo zaidi. #AfyaYaMtoto #childcare

afya ya mama na watoto
afya ya mama na watoto
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 18:23:11 GMT
1793
142
4
0

Music

Download

Comments

cesi2516
Cesilia6002 :
polesana kipenzi
2026-11-12 04:27:27
0
ashhhhy120
Ashhhhy🧕🏻🖤 :
Pole
2026-11-12 17:40:44
0
nasira8075
nasira :
pole san mungu akuponye
2026-11-12 14:35:19
0
user12354804774105
rosemaryally :
pole
2026-11-12 16:34:48
0
To see more videos from user @motherchildwellness1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About