🤣🤣🤣 that's why we said Amen wether they like it or not Jesus is God YAHWEH the creator of everything in flesh
2026-11-13 05:10:34
0
Mtu pori :
mungu anatahiliwa govi na viumbe wake
2026-11-11 18:45:38
2
IG :
na adamu je
2026-11-12 07:56:30
1
nsungumpina :
hakuna alichokiumba Mungu ambacho hawezi kuwa, anajidhihirisha Kwa Kila kumbe chake, wanajuwa lakini hawataki kukubali, YESU NI MUNGU
2026-11-12 06:12:17
4
Ally Urembo :
sawq saaa wakati huyo yesu yupo tumboni nani sasa alikuwq anaendesha Dunia ikiwa yesu mungu
2026-11-12 15:15:06
3
Alice 🇧🇮 :
Be blessed man of God
2026-11-12 09:03:45
0
Mogela Fabian :
HALLELUJAH
2026-11-12 10:41:09
1
Malik leehux :
NAOMBA KUULIZA MWENYE HAKI YA KUHUKUMU DHAMBI NI NANI ????? MAJIB PLEASE
2026-11-12 14:34:34
1
Nicephonne Boniface :
𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐟𝐢𝐞𝐝 𝐬𝐩𝐢𝐫𝐢𝐭𝐮𝐚𝐥 𝐦𝐢𝐧𝐝𝐬
2026-11-13 07:19:36
0
kelvin lucas :
MUNGU aawabariki sana kwa kazi mnayoifanya kweli mnaishi kwa faida
2026-11-12 10:13:23
1
bushir messi :
kwa mama yesu yesu anamwita nan
2026-11-11 20:23:19
1
severinemsonga :
jamaa amefafanua vizur sana.
kama mtu hawez muelewa huyu mtumishi bas hataelewa tenaa...
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
2026-11-12 06:41:54
2
Michael :
mm navyojua kwauelewa wangu kristo nimwana wa Mungu alikuja kumuwakilisha Mungu ili kwamba atakae mwamini kristo basi amekwisha kumwamini Mungu
2026-11-12 15:41:45
1
johnid :
Mashekhe wakiskia hii watachanyikiwa😁
2026-11-11 18:32:29
4
Adriano Mngulwi :
hapa nimeela kitu kizuri sana
2026-11-12 17:36:53
1
Grace Nnko :
Ameen
2026-11-12 17:26:44
1
Samwel :
we jamaa kweli unaufahamu wa maandiko ubarikiwe, ilo jambo hata baadh ya wakristo hawajui kwa habar ya uungu wa yesu
2026-11-12 10:27:51
1
severinemsonga :
hata Mungu alimtokea Ibrahim mbele ya nyumba yake akiwa kama binadam wa kawaida tuu...
hivyo ndugu zetu msio wakristo tukiwaambia Yesu ni Mungu muwe mnaelewa jamani
acheni makasiriko
2026-11-12 06:44:56
1
Gédéon :
Amen
2026-11-12 07:42:10
1
NYAKO DECOR :
Kwajina la Baba nal mwana na roho mtakatifu Amen
2026-11-11 19:10:27
1
Makala :
Kwahio Mungu alipouliza nimtume nani akasema ajitume yeye jaman
2026-11-12 18:28:47
1
Eden Herbal :
Yesu Mungu no comment
2026-11-12 17:10:01
1
kelvin lucas :
aiseeee MUNGU awabariki sana kwa kazi mnayoufanya
2026-11-12 10:12:10
1
Qram🎱 :
2026-11-12 03:56:43
2
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm
homepage.