@matukioonline_tv: #UPDATE DAR ES SALAAM _ Sheikh atajwa Kulawiti Wanafunzi wake anaowafundisha masomo ya Dini mmoja ya watu wa Karibu na Mazingira ya Matukio ya Sheikh hapa anafunguka Mdau Tupe maoni Yako ? Kwa Habari Motomoto follow #MATUKIOONLINETV @bakwatatz @bakwata_dsm @sheikhnurdeenkishk @sauti_za_waislamu @islamic_swahili_net #bakwata #islamic #waislamuwoteeduniani
haya ndy mamb yaliyomponza astadh juma na Musoma je ukiambiwa ulete ushahid kama ni kweli utaleta?
2026-11-12 05:53:35
1
anwary awadhi :
mtaje jina mwalimu gani huyo
2026-11-11 19:14:32
0
حبيب سيف حمود Al mafaadhy :
allah atuhifadhie watoto wetu ,,,mbona nimelisachi hili jina amekuja sheikh mziwanda je ndio huyo ??? mbona sielewi
2026-11-12 02:29:40
1
YUSSUF KINYAGA :
mtume muhamad swalalahu anatufundisha, anasema ukitaka kutaja aibu za mwenzako Anza na zako.
2026-11-12 06:07:16
1
ابو فرحية السلفي تنزانيا :
je hizi habri ni kweli kama anavyosema huyu jamaa???
2026-11-12 05:39:21
1
OfficialMamaLao :
mimi ndo maana sitaki kupeleka wangu chuo
2026-11-12 05:12:43
0
mubasa :
Amefanya yote hayo na bado mnamficha
2026-11-11 20:17:58
2
مدرسة شمس الضحى :
wanadai ndio huyo, ila mimi sipendi kulishabikia kivyovyote maana hakuna ushahidi wa kutosha wa kisheria naogopa siku ya Qiyama nitakapoambiwa nilete ushahidi sina
2026-11-12 03:45:54
1
𝐌𝐔𝐊𝐇𝐓𝐀𝐀𝐑 𝐇𝐄𝐋𝐌𝐘 :
watu wamekuelewa sana akhii ila kama ni taarifa za uzushi halafu watu wenye watoto wao wakagoma kuwapeleka watoto wao madrasa kisa maneno yako wallah utawajibika kwa allah halafu uwe kisheria katika kutoa ushahisi kama alivyo fundisha mtume, assalaam aleykum
2026-11-12 08:12:27
0
Anti 💞Nurati❤️ :
😭😭😭😭😭jmn ni aibu hii
2026-11-12 05:48:19
0
uchebe professor :
2026-11-11 21:33:45
0
Mgendwa Jr :
hii story leo ndio naamini manq nimeisikia mda kweli lakin nilikua siamini
2026-11-11 21:06:07
1
مغمب صالح سيف مجنغ0664139796 :
mambo kama haya katika dinii ni makosa kuyaanikaaa Kwa sababu yanashusha hadhiii boraa kuwafuata wenyewe sio mtuletee huku
2026-11-12 04:27:39
3
Mgendwa Jr :
shekh nzi mzee wa mshangazi
2026-11-11 21:04:22
1
Ochuninho Bin Abdallah :
Shekhe kazingua sn nlikua namuheshimu mno yan Daaah😭
2026-11-11 22:18:16
2
UJENZI SA BEI NAFUU :
je unaushahidi? uislam hauamin nimeskia nimeskia kama hna uhakika jua unamaswali yakujib siku Qiyama
lakini hata kama itakuwa nikweli anafanya hivo je umeshawahi kwenda kumlingania kabla yakuleta mitandaoni?
kabla yakumsema tandaon jambo lakwanza nikmulingania
2026-11-12 04:41:49
1
othman :
wewe mbona unaleta fitna ndugu yetu????umeshindwa kwenda hat kwa muft ukaomba mkutane mzungumze??
2026-11-12 07:14:57
0
Musa 11 :
hii tuhuma nzito sana ndugu na ushahidi huna
2026-11-12 07:23:34
0
mamnoor :
shehe gani huyo mtaje tusije tukapeleka watt wetu jmn yaallah tulindie watt wetu na wadogo zetu na kila kadhia na matendo yatakayowafanya uwakasirikie waangamize nao yarabby
2026-11-12 08:29:51
0
Abuu Mujtaba Mwinyiwiwa :
@shebclevermwinyiwiwa mwenzangu unamuelewa?
2026-11-12 03:13:51
1
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.