@nyebowsa_media: Mashabiki wa Mwanamuziki Diamond Platnumz wameibua mjadala kuhusu ukaribu wake na Producer S2Kizzy Zombie, amekuwa akishirikishwa katika Project kubwa za msanii huyo, hasa ya kimataifa lakini Hivi karibuni imekuwa tofauti kidogo. Mashabiki hao wanahoji ukimya wa ushirikiano wao hivi karibuni, huku baadhi wakihisi huenda kuna tofauti zilizojitokeza kati yao. Hata hivyo, hakuna taarifa rasmi iliyothibitisha madai hayo. #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #diamondplatnumz #davido #s2kizzy

Nyebowsa_Media
Nyebowsa_Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 18:31:08 GMT
9081
506
3
1

Music

Download

Comments

user881813281179
[email protected] :
alikosea kujifanya musaanii wakit taluma yake
2026-11-11 19:26:43
0
wonder4387
wonder Food point :
kabondwaaa
2026-11-11 19:55:27
0
user9393678181542
ngabir Chadia🥰 :
🔥🔥🔥
2026-11-11 18:36:33
0
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About