@lilyanapika: Ice cream ya vanilla Mahitaji Maziwa ya maji nusu lita Sukari gram 120 Maziwa ya unga gram 80 Corn flour gram 20 Ladha ya vanilla kijiko 1 kidogo Darasa LA Mafunzo ya Kutengeneza Ice cream za Biashara bila kutumia mashine LA Online Batch no09 litaanza 23/11 Ada sh 50,000 Kulipia comment neno Ice cream nimekutumia maelezo ya kulipia.