@jifunzekingerezanamimi: Unataka kujua jinsi ya kutoa ushauri kwa Kiingereza? ❤️ Leo tujifunze matumizi ya neno SHOULD kwa mifano rahisi ya kila siku. Jifunze Kiingereza na Zee — Zungumza Kiingereza kwa kujiamini! 🗣️ #SpeakEnglish #EnglishWithZee #JifunzeKiingerezaZee #JifunzeKiingereza #EnglishWithZee