@leyanastore: USINUNUE WASHING MACHINE KABLA HUJAJUA HAYA! Unajua tofauti ya Semi-Automatic, Top Load na Front Load Washing Machine? Kila moja ina teknolojia yake, faida zake na matumizi yanayoifaa zaidi. 📍 Karibu LEYANA – Hatuuzi tu vifaa, tunakupa elimu na ushauri wa kitaalamu ili uchague mashine inayoendana na mahitaji yako na namna yako ya maisha. Aina mbalimbali za Washing Machines zinapatikana. Wewe ungechagua Top Load au Front Load? Na kwa nini? #Leyana #WashingMachine #HomeAppliances #LaundryTechnology #NasileSupermarket