@kelvinkibenje_: Replying to @jey mii Kuna Hii mashine ya kuagiza China Kwenye biashara ya juisi ya miwa, faida haianzi kwenye kuuza glasi, inaanzia kwenye mashine unayotumia, miwa unayokamua, kiasi unachopata HII NI ROLLER 5 – MASHINE YA BIASHARA YA KISASS INAKAMUA BILA WEWE KUTUMIA NGUVU ZAKO NYINGI! Ina uwezo mkubwa wa kukamua miwa na kutoa juisi nyingi zaidi, huku mabaki yakitoka makavu. Maana yake unatumia miwa vizuri zaidi, unapunguza upotevu na kuongeza nafasi ya kupata faida kubwa! ✅ Roller 5 – Ukamuaji wenye ufanisi mkubwa. ✅ Juisi nyingi zaidi – Unapata thamani kubwa kwenye kila muwa. ✅ Stainless Steel – Imara, salama kwa chakula na rahisi kusafisha. ✅ Biashara ya kudumu – Inafaa kwa biashara ndogo, za kati na kubwa. 💰 BEI YA MASHINE: TSH 1,370,000 utalipia kwa manunuzi China 🚢 Usafiri Na ushuru: Makadirio Tsh 200,000, unalipia mzigo ukifika. USINUNUE MASHINE KWA SABABU NI YA BEI RAHISI. NUNUA MASHINE ITAKAYOKUSAIDIA KUTENGENEZA PESA KWA MIAKA MINGI! 🔥 Weka oda yako leo, tuagize mashine yako moja kwa moja China! Fanya malipo kwa crdb 0152277207300 Kelvin kyaluoko kisha utanitumia risiti ya malipo
Kelvin Kibenje Kyaluoko
Region: PL
Wednesday 11 November 2026 19:12:59 GMT
Music
Download
Comments
Dr. Rehema health solutions :
hiz zip Arush za kutosha
2026-11-11 21:44:59
0
Mr immort :
nitumie bei
2026-11-11 22:04:06
0
baron :
bei gapi?
2026-11-11 21:59:42
0
Thobias Thomas :
niko zanzibar nahitaji iyo mashine
2026-11-11 21:11:52
0
albedo accessories :
bei gan ioo
2026-11-11 19:32:29
0
ndama allan :
bei
2026-11-11 20:13:00
0
OfficialStella :
una uzaje
2026-11-11 19:50:31
0
kigu maelectronic :
Mimi sina kipaji chochote naomba sapoti ya kwenda kuangalia video zangu
2026-11-11 21:21:39
0
To see more videos from user @kelvinkibenje_, please go to the Tikwm
homepage.