Wakimuhukumu watakua Waonezii ama Washachukua Rushwaaaaaaa
2026-11-11 21:27:17
4
Claud Mush :
sawa kabisa kama adai hela apewe hela yake
2026-11-11 20:55:04
7
🎀🫦🎀miss🫦G💥🦋🦋 :
akuna selikali saiv tunajiamulia mambo wenyewe
2026-11-11 22:28:01
4
Magesa Maganira :
mpeni pesa zake, kwanini mnatuletea mazoea
2026-11-11 21:03:09
7
Miss H💕 :
sawa atapewa hela zakeee vp kuhusu huo uhalibifuuu si tayar atafungwaaa🥺
2026-11-11 21:47:24
1
Joseph Mnyamale :
jaya sasa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-11 20:29:51
0
The one 😎 :
Excavator bhn[Big LOL]
2026-11-11 21:18:52
1
Am_stanleypro :
Ni jukumu la viongozi wetu kujiuliza: Baada ya miaka 20 ya uwekezaji kutoka China na mataifa mengine, vijana wa Kitanzania watakuwa wamepata manufaa gani katika UJUZI, TEKNOLOJIA, AJIRA na UWEZO WA KIUCHUMI?
Kwa sababu uwekezaji wa kweli si kujenga biashara pekee, bali ni kujenga uwezo wa Watanzania kushiriki, kujifunza, kumiliki na kunufaika kiuchumi.
2026-11-11 22:53:34
0
C0ll!n :
sasa alipokuwa anadai mbona hawajaenda
2026-11-11 22:50:28
1
Ibrahim Leonard🍒 :
mpaka anaharibu inamaana kavimilia sana bila majibu
2026-11-11 22:39:15
1
T.red :
hapo ndio Unapojua Hasira Hasara ...Kila Mtu amlipe mwenzake mchezoo yaishe 😅
2026-11-11 21:28:38
1
mkorea :
uhakika kka ujakisea
2026-11-11 20:35:31
1
tuwa_007 :
Ndio walichobakiza hicho
2026-11-11 21:32:16
0
maduhu hangi :
jammaa yuk saw kabica
2026-11-11 21:50:43
1
Joseph Marigi :
Wambua Tanzania 🇹🇿 Wote Tutamchangia Iwezekani Mtu Atoke Msibani Alfu Kazi Amefukuzwa Na Hela Wajamlipa !! Safisha Njia Bro
2026-11-11 23:17:05
0
petro :
walipe pesa za watu
2026-11-11 22:40:00
0
Rashid Msumi :
kumbe kigamboni ehe atar
2026-11-11 22:33:26
0
May_Nallano :
Hadi nmempenda
2026-11-11 21:31:13
0
S.m@n🕰️ :
Hapana heshimaaa ya mtuuu iwepooo anapo hitaji apatiweee kwani kabla ya kazi kuna makubaliano au maelewanooo wazeee
2026-11-11 21:32:36
0
masaka :
nabado yupo sawa maana kunamda vinazd
2026-11-11 22:02:20
0
Abui_Saratan :
apo kuna mambo ayo✌
2026-11-11 22:06:49
0
shukuru mapesa :
npe changu
2026-11-11 22:07:28
0
Allah Jabar :
Angeenda asingesaidiwa,
2026-11-11 23:23:48
0
dickson....masai :
unamushika. kwanini.
2026-11-11 21:01:04
0
To see more videos from user @ebrasdigital, please go to the Tikwm
homepage.