@lutystar3: KILIO CHANGU EP 115 FINAL ❤️💍Sami ameficha siri kubwa. Enjo ameumia na kuamua kuondoka. Je, ataweza kuamini tena? Dorian na Nadia hatimaye wanafunga ndoa yao mbele ya familia na marafiki. Lakini kwa Angel, siku hii inafungua tena ukurasa wa maumivu ambao alidhani umefungwa. Kila mmoja ana safari yake. Kila mmoja ana maamuzi yake. Na wakati mwingine, njia za watu hutengana ili kila mmoja apate nafasi ya kuanza upya. 🔥 KILIO CHANGU SEHEMU YA MWISHO Wewe una maoni gani kuhusu uamuzi wa Enjo? Je, Angel anapaswa kuachilia kabisa yaliyopita? Tuandikie kwenye comments. ❤️#creatorsearchinsights #plottwiststhatkeepviewersin #lutystar #storytime #africanstories
Lutystar
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 19:39:03 GMT
Music
Download
Comments
Little Heroin 💪 :
kwan jmn kilio ni cha angel tu me kama team angle cjapenda.lutystar season 2 please 🥺😭
2026-11-12 04:17:06
4
✨ Scorpio 🫶💖 :
kilio kilikua Cha enjo ama Nadia jamaniii 😂😂😂😂😂
2026-11-12 02:15:54
2
veronica :
duuuuuh Bora move ungeiita tu machozi ya angel make timu angel tunaumia sana🥹🥹
2026-11-12 05:28:37
5
joash2856 :
i cave followed hii tamthilia nimeupend imenifunza
2026-11-12 06:22:02
0
allanocorsh :
very interesting.. nimependa Dorian
2026-11-12 06:47:42
0
💞miss Isha 💞 :
kumbe hiki kilikuwa kilio cha angle ahsante nimejifunza kitu ahsante sana mtunzi inaelimisha inaburudisha🙏🥰
2026-11-12 05:10:19
3
princess 👸 tiffah :
iv mnajua kama kuna watu wapo kama enjoooo
2026-11-12 06:24:25
1
Maryy :
nimejikuta nalia naenjo
2026-11-12 06:14:52
1
Amos mukanirwa :
ina tu acha na hamu kubwa zaidi sana enjo Ku acha sami kisa uongo
2026-11-12 03:50:48
6
Mariam Sengerema :
hamjaikamiliaha vizuri tulitakiwa tuone sakata la Rehema
2026-11-12 05:06:37
2
@mathieu bagete :
apana seson 1
2026-11-12 05:58:37
1
emmy :
iendelee bhana
2026-11-12 06:33:35
0
Instructor Clement :
Belinda yeye hana mtu!
2026-11-12 04:17:26
0
Rolyshna Avish ❤️ lõvë 🥀 :
Niliamza n nyinyi kimekuwa kipindi chenye mavuno mazuri,,,,,,sasa nagoja hyo ingine kwa hamu
2026-11-11 23:11:02
2
Mbotoony Alfrd🥀 :
season two iendelee pplz
2026-11-12 04:55:27
1
ilham :
haijaishia vizur bhn
2026-11-12 05:24:28
1
Fey junior :
jaman hapana next☺️isiwe ya mwisho
2026-11-12 03:20:28
2
Mamu Thebossdada :
kaaaaah sijapenda bhuana kwanini lakini enjoy anapata maumivu2
2026-11-11 22:51:51
0
Mwewe Tz vc7 :
Niliizoeaa kinyama an
2026-11-12 04:58:03
2
123456789 :
imeisha tenaaaa
2026-11-12 03:12:46
1
YP@0326 :
hogeren sana kaz ilikuwa nzuri
2026-11-12 03:36:51
1
mr_Mechanics2 :
enjoy wanamtesa sana🥺🥺🥺
2026-11-12 03:49:31
1
Victoria Mbupila :
mmmmh jmn finally doo hii story kwel ni kilio changu
2026-11-12 02:40:53
1
《☆~Wa~Magagaraa~☆》 :
Mnamalizaje kizembe hivi jamani eeee
2026-11-12 06:46:06
0
Baraka Joseph :
nimejifunza kitu kizuri kwa enjoy kutoruhusu mausiano juu yauongo
2026-11-12 06:42:26
0
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.