Issue sinakuwa kama chivayo basiii himeisha iyo naiyomba doctor or fanya maarifa niiipate
2026-11-13 15:31:52
0
RAZAKI IDDI 03 :
achana kabisa na hio ndagu ndugu hio mlalo uko unapewa kuku nane uchague Mmoja alaf kati ya hao ambaye hajala kabisa n Mmoja wote saba wameshiba taali bola ndagu za kuchinja wanyama ila hio ya kuchinja lazma uoe au kuorewa ukishapata pesa
2026-11-12 20:00:59
1
Kennedy the Landscaper :
Hapo upate kuku anadona mbegu moja ya hindi,hapo unaweza lia mbele ya mtaalam😂😂😂.
2026-11-12 07:33:26
2
solomon temp 124 :
hiyo haiteguki ukivunja mkataba unalipa mala10😃
2026-11-12 18:48:20
0
Absalom khumalo :
halafu mara nyingi wanaletaga kuku ameshiba ajabu
2026-11-16 12:22:46
0
Official G :
Hii ni ndagu ya Chupi ya mama mwenye watoto mapacha inayochanganywa na dawa nyengine....
Ni ndagu isio na madhala ya aina yoyote Wala masharti magumu na pesa yake unaitumia kwenye matumizi yote iwe starehe biashara kusaidia ndugu marafiki nk kufanya maendleo bila kikwazo Wala masharti
Ni ndagu nzuri ila Ina gharama kidogo
Maitaji yake ni CHUPI YA MAMA MWENYE WATOTO MAPACHA
PESA SHILLING Laki 5 Kwa ajili ya manunuzi ya vifaa na dawa nyengine
Baada ya kutengenezewa utakabidhiwa na kupewa matumizi na masharti yake utatakiwa kuwa na tranka Kwa ajili ya kuifadhi iyo Ndagu
siku 7 za kwanza kazi Yako itakuwa ni kufukiza udi ule wa matunda baada ya siku 7 kuisha utafunga tranka lako utakaa siku 7 nyengine bila kulifungua baada ya siku 7 kumalizika jumla zitakuwa siku 14 siku ya 15 utaenda kufungua tranka lako na pesa utakazo zikuta umo ni sawa na ukubwa wa tranka lako utatoa pesa zote na kufunga tranka lako hii ndagu unaweza kulithisha vizazi na vizazi
2026-11-14 00:25:43
0
PhoebeNatasha♥️🇺🇲 :
sasa ni kuku au jini
2026-11-12 16:58:07
0
Mafumba kadabwida :
😁😆 Shida miaka michachee
2026-11-21 03:49:21
0
Puttin :
Kuku akiokota punje Moja ndo naishi mwaka Moja syo?
2026-11-18 15:25:15
0
To see more videos from user @doctor.umande, please go to the Tikwm
homepage.