cjui niongee nn naon nalia dah😭 ilaa naamin baada ya dhiki faraja🙏
2026-11-12 06:30:34
6
Aweyth@m😍🥰😘 :
ndokwanza wat wanachukua vdeo kuliko kusaidia wat doh
2026-11-12 07:44:26
3
MOHD.S :
ulianz vp hk juu hw moto jmn
2026-11-12 11:42:05
2
bambera :
poleni allah atawapa wepesi kwenye hili
2026-11-14 07:32:35
1
Nanaa Fashion :
Nahisi kulia Allhwa awjalie subra inshaallhwa 😭😭😭. maa aswaba minmuswibatiin illabiidhnillah..Hautokezei mswiba ispokuwa kwa idhini ya Allhwa .msiba ni wowote tu ila Subraa muhim wallhi najihisi kuliaaa😭😭😭😭na nigelikuwa na uwezo basi nigewasidia😭😭😭
2026-11-13 13:39:40
3
0623565612 :
Binaadamu sijui tupoj badala ya kutoa msaada mtu anachukua video kweli
2026-11-12 05:46:19
2
my Gifty :
Mmh mng awape subrah katika kipindi hich [Pray]
2026-11-12 03:30:43
1
salim7 :
dah polen sana ndo mipango ya mungu
2026-11-12 10:57:17
1
mamy naaa :
mtihan
2026-11-12 07:27:53
0
💔😭Aunty naa🙌 :
Dahh polen san🥺
2026-11-12 08:57:42
1
user1142466202746 :
usiombe hii ukutokee mm nyumba ya jirani yngu imeungana mageti nilizima mm maana ikitoka yake ni yngu Allah tuepushie na haya majanga🥺🥺🥺🥺
2026-11-12 06:39:47
0
MAMOH :
poleni majiran zangu
2026-11-12 06:22:46
0
ziyada om :
poleni san
2026-11-12 08:18:37
0
Bin Ashani tz% :
Allah atup xhufaa na atunusur n hii mitihan kwakwl🤲
2026-11-12 11:47:06
1
Mustwafa :
poleni sana na majanga 🤲
2026-11-12 02:29:56
0
user6505692384415 :
polen sana ndgu zang allah awape ngvu n subra
2026-11-13 19:02:43
1
Suu :
dah imeniuma sna 😞
2026-11-12 03:58:37
1
بن حمود :
duh mtihani Allah awape subra 😭😭😭😭😭😭😭 imeniuma sana wallah hapo mtu anapigana alete chijio ndani unakuta unapigiwa sim nyumba inaungua na ndani huna hata hakiba ya unga 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-12 08:07:59
0
Aisha nice :
subhanallah jmn polen
2026-11-13 09:49:01
1
user74393735531460 :
Mashaallah wanaumoja wameokoa nguo kdg wapate hata stara😢🙏 subhanaallah
2026-11-13 13:14:19
1
thaurathassan :
Nikon hii vdeo nabak kulia t🥹🥹😭
2026-11-12 06:15:59
1
mamy Naa :
🤲🤲
2026-11-13 14:48:33
0
Mustwafa :
Asslm alaikum
2026-11-12 02:29:23
0
To see more videos from user @jussa.boy, please go to the Tikwm
homepage.