@midwifefrank_tz: MARUFUKU AJIRA MPYA KUINGIZWA KWENYE MAKATO YA VYAMA VYA WATUMISHI BILA HIARI YAKE AMESEMA WAZIRI WA NCHI,OFISI YA WAZIRI MKUU,AJIRA,KAZI NA MAHUSIANO MHE.DEUS SANGU #creatorsearchinsights #nursesworking #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #fyppppppppppppppppppppppp
mi nazan HiV vyama vya wafanyakazi faida yake n Ndogo sana no Bora tubaki na mabaraza ya kitaalama mfano MCT,TANNA,etc in case ya changamoto kazini vihusike ,,, mfano mtu ulipie leseni tena ukatwe tena cjui TALGWU, TUGHE etc hapana🙌
2026-11-12 03:24:16
0
## :
Vyama vimekaaa kiupigaji tu!!!!
2026-11-12 16:48:39
0
stephanoaman :
kwani vina kazi gani achana navyo
2026-11-12 12:41:04
1
pota :
watoe kabisa mimi hata si wataki
2026-11-12 08:22:58
1
Alliy_tz :
tunaomba turudishiwe ada zetu mpaka pale tutakapokua tayari
2026-11-12 11:25:42
1
Riziki Mtui :
uhakika
2026-11-12 06:23:09
1
nurse dinah :
na mshahara ukipanda na wenyew wnapandisha ada
2026-11-12 18:29:28
0
its ferion :
ila nchi yangu bhan ....me najua mpaka wanafikia huo utaratibu basi ulkuwepo kisheria....ila unaondolewa mkutanoni aya kama ni kwelii😂
2026-11-12 13:44:10
0
@ bm :
kwakweli wanakata hela kila mwaka alafu hakuna hata wanachotufanyia
2026-11-12 06:44:44
0
user3463594861303 :
Yaan unakuta wamekuunga juu kwa juu wanakosea sana
2026-11-12 03:15:44
0
zaylyna :
mm nataka nitoke tu jmn inauma
2026-11-12 10:21:17
0
Merlin :
Uahkika hapa
2026-11-12 08:34:25
0
Jafar :
sio baadhi ni woteee 😅😅
2026-11-12 08:38:35
0
lugano Mwakalinga :
kweli kbsa
2026-11-12 05:11:05
0
drjohn# :
acha 2 ni huzuni
2026-11-12 04:59:25
0
Khalid Mwanga :
Mimi nitaburuza mtu mahakamani Sitaki mchezo na fedha zangu 🤒🤒🤒
2026-11-12 19:25:52
0
lucky light online store :
@Anthony kallaghe
2026-11-12 07:41:54
1
To see more videos from user @midwifefrank_tz, please go to the Tikwm
homepage.