@swahilimedia21: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu (MB) aonya baadhi ya Waajiri Nchini kuwaingiza kwenye makato ya Vyama vya Wafanyakazi Watumishi Ajira mpya pasipo hiyari yao aelekeza kupatiwa elimu kwanza kuhusu umuhimu wa kujiunga na Vyama hivyo