@kalungu_therapist: #fypシ゚viral🖤video #fypシ゚viral #fypシ

kalungu_therapist
kalungu_therapist
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 05:15:50 GMT
117776
4379
155
150

Music

Download

Comments

__magari
 __MA”GA”RI__🧢 :
Introvert + Overthinker+ Group 0
2026-11-12 08:23:57
11
user6673714217408
nanah :
Mimi ni overthinker yani 😔😔
2026-11-12 06:25:24
91
bayser342
Bayser 🤠 :
Mmi n anxious overthinker na introvert … Nalala nikiamka Niko na majibu ya story tulozngmza na umia lkn nmeshindwa kujibadlisha
2026-11-12 20:00:35
0
gianamohamedi
GYE DOLLARS🫧 :
siwezagi kuniambia mtu nachopitia nikianza naishia kulia nikipata wakumuamby naona km hanielewi... introvert + overthinker 😫❤️‍🔥🧠
2026-11-12 07:40:04
85
dynessngowi
Dyness Ngowi🇹🇿 :
alafu nafsi yangu inalia kimya kimya kama haitaki wakat inanielewa
2026-11-13 06:57:06
3
meena14763
Meena :
Mm natamani nipate hata bega la mtu nilieee weee
2026-11-12 07:43:31
17
dianamunishi572
@dee☔🌄♥️ :
Yani Kuna mda anapata amani vizuri tu baada ya dakika kadhaa ni maumivu siku nzima
2026-11-12 21:30:06
7
fridahonorath
frida :
nilipitia hpa lakn mungu nimkubwa ,, hakika nimevuka
2026-11-12 07:02:40
18
user21561259902038
Calma :
kuna wakat nataman nipate mtu mgeni kabisa ambae hanijui simjui nimhug nilie kwa nguvu au niongee nae ila nikifikiria ataenda kusimulia mahali nalibeba tu
2026-11-12 13:53:17
7
idontentertainnonsense
Sally💎 :
Situation 🥺
2026-11-12 23:18:19
0
halimacy6
Halima yanga💚 :
Kuna wakat tunataman tupate watu wanaotuerewa tuwashike tulie hivi alafu watuache tulie hadi tumalza then watuambue sasa hakuna kulia tena tunaanza upya
2026-11-12 08:21:53
10
brinasabry
Briana :
Nashukuru Mungu nimefanikiwa kuwa najisema ,najikanya na najipongeza ninapofanikiwa
2026-11-12 18:23:20
5
big__lee1
Big Lee🇿🇦 :
Sina la kuongea nachopitia wakati huu
2026-11-12 11:26:14
4
lizzyelias166
lizzy elias :
haya maisha yanachosha daah😭😭
2026-11-12 21:25:31
0
mclizzybeth
SHABIKI MAARUFU/ MTUMBA :
mimi uwa nalia usiku wa manane nalia mnooooo hasa nikimkumbuka mama yangu 😢😢😢😢
2026-11-12 13:13:37
2
gs.luxe4
GS LUXE :
sio nafs yng😁nikiongea nay iachilie ni dkk tu🙏🥰
2026-11-12 12:22:56
2
mamy.asya4
mamy asya🌹 :
staki ata kukmbuka😔😔
2026-11-12 11:17:45
1
baby.winter74
🦋baby winter🌺 :
🥺🥺
2026-11-12 13:23:32
1
its_mamrah
MOUH🧼🫧 :
🥹🥹🥹😭🫠
2026-11-12 10:57:52
1
winenos
Win Enos :
kua uyaone ndio haya
2026-11-12 09:48:22
0
alya.tz0
Alya-💥🇹🇿 :
Inaumiza saana ila MUNGU mwema sio wa hivyo tena
2026-11-12 09:12:19
1
neymallyabby
Neymally Abby :
nishakipitia nashukuru sasa nina week moja niko sawa yani nimelia adi nikawa najiona mimi siyo binadamu yani nikanza kujichukia Wallah maumivu 🤦‍♂️🤦‍♂️🙌
2026-11-12 15:00:24
2
yusam065
Yusam06 :
🤣🤣🤣🤣nachekea uchungu yani dah🥹
2026-11-12 07:48:33
1
jeniphalusenga
Jenny :
unaiambia nafsi Yako iache kukuumiza lkn inashindwa kuacha inazidi kukuumiza Zaidi😢😢😢
2026-11-12 07:13:24
1
hasanat211
hasanat :
mbn hii hali napitia mm kwass
2026-11-12 06:11:30
1
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About