@thetourguider: Ijue asili ya jina MANZESE…. Host : @JJ EPHRAIM #tanzaniaunforgettable #tanzaniantiktok🇹🇿 #visittanzania #anuaniyamakazi #utaliiwandani

thetourguider
thetourguider
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 06:38:36 GMT
31169
3159
61
31

Music

Download

Comments

be..man1
Lauce✝️ :
wadada wa bukoba wana MANZESE
2026-11-12 07:47:40
7
king_mbughi
KING DEE👑 :
KWANINI VWAWA😁😁😁
2026-11-12 09:42:21
1
mubaarack63
mubaarack :
nakubali kk
2026-11-12 06:45:47
6
kiungo_mchezeshaji8
Ibrah-RDJ :
Kwann wanging'ombe[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 08:43:18
0
danaxess
Danaxess :
JJ wa Ephraim
2026-11-12 10:35:41
0
ramangohengo
rama ngohengo :
njoo mbagala utupe historia yake
2026-11-12 15:36:54
0
msaktonge8
msaka tonge :
tip top sio bar wala Argentina sio bar mi ni mzawa wa maeneo hayo.. tip top ni duka la madawa lililokuwepo hapo miaka michache tu wala sio mingi na Argentina ni bucha la nyama pia.. majina haya yalikuja mwanzoni na katikati ya miaka ya tisini.. maeneo ya tip top zamani yote yalifahamika kwa jina la manzese msufini na hapo Argentina paliitwa njia ya panda ya tandale au kwa ngawaiya
2026-11-12 11:07:27
1
side.tz
Mr Five :
kamanda
2026-11-12 08:09:43
0
og_classic75
og classic :
Picha mgando 😁
2026-11-12 10:34:56
1
legend_teacher
kibode :
naaam manzese tupe ya nyamala
2026-11-12 07:36:36
1
yona.makondo
Yona Makondo :
tufanyie ya sanamu la posta ,tafadhari
2026-11-12 14:52:49
0
american.boy922
AMERICAN BOY🇱🇷 :
saiv tuna shida na maji manina☹️
2026-11-12 14:15:43
0
michael.luhuga
Michael luhuga :
Uko vzur
2026-11-12 06:48:11
1
sunvilly06
Sunvilly006💕 :
uku madale kuna sehem inaitwa kisauke fatilia hilo
2026-11-12 11:55:12
0
ummyeliud
ummy Lizzy♥️ :
😂😂😂😂Ila jj
2026-11-12 14:26:55
0
fazzletv
DR.FAZZLE DLDM TZ🇹🇿 :
😅nakubali kaka
2026-11-12 06:50:45
1
user3758786318662
user3758786318662 :
naomba efafanue haelallo au elala kama mnavyoeta
2026-11-12 12:17:14
0
joseph32tz
LONELY BOY 👦 🎶 💔 :
the guide tour
2026-11-12 07:07:27
0
mubaarack63
mubaarack :
😂😂😂me wa5 kk
2026-11-12 06:44:43
2
kingdebejo1
KING DEBEJO 👑 :
sijawah lipanda😂
2026-11-12 09:36:19
0
nemankaran7
Neman Pro🫡 :
Kaka fanya Tandale
2026-11-12 16:06:51
0
mamawanyumban0
Mama Wa Nyumbani :
dodoma mje nyerere squa
2026-11-12 10:33:38
0
user4858018321983
𝑨𝒏𝒕𝒂𝒓𝒚 𝑰𝑰 𝑹𝑩² :
2026-11-12 10:35:21
0
mathayostore
li mingzhang :
sema nimekukubali san mwishon kaka jjy
2026-11-12 10:26:17
0
casryoutfits
Casry Outfits📦🚌 :
legend ⭐
2026-11-12 07:14:10
0
To see more videos from user @thetourguider, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About