Samahani shekh kwenye nyumba yangu nasumbuliwa na wadudu kama panya na mijusi nimejaribu kufukiza ile karafuu wameondoka nilipoacha tu wamerudi tena ss sielewi inaashiria nini
2026-11-12 13:35:48
2
raiyan :
samahani shehe ukivaa pète kidoleni inamaanisha nn
2026-11-12 12:16:03
1
chama :
Mashaallah Allah akujalie kheri kwa sadak yk ulotupa
2026-11-12 07:49:48
1
Mr's A :
mbn imekat
2026-11-12 15:31:13
0
habbybeauty saloon :
Nashukulu sana nimeelewa kitu hapa
2026-11-12 09:07:42
0
Nasra beauty 🪮 :
vp kuhusu ule wood wa dua unafaa kufukiza?
2026-11-12 11:23:41
2
To see more videos from user @shehk.njiku.backu, please go to the Tikwm
homepage.