@benmkatoliki: Wimbo unaonizamisha katika tafakari ya upendo mkuu wa Yesu Kristo, anayejitoa mwenyewe kwetu katika Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, chini ya maumbo ya mkate na divai. Ni upendo usioelezeka kwa maneno! Mungu anayejifanya chakula ili aishi ndani yetu. Kila ninapoutafakari upendo huu, moyo wangu unajawa na unyenyekevu, shukrani na hamu ya kumwabudu. Ee Yesu wangu, ninakuabudu, ninakushukuru na ninakupenda. ❤️🙏 #thursday #adoration #eucharist #komunyeong #god
Ben Mkatoliki 🇹🇿
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 09:21:13 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @benmkatoliki, please go to the Tikwm
homepage.