@ramzee_tz: Si maziwa, si asali, si mahurul-aini pekee… Bali neema kubwa kuliko zote ni kupata radhi za Allah na neema ya kumwona Mola wetu🤲. ❤️🩹 #WATUWAPEPONI#pepo #jannah Ewe Allah, usitunyime neema ya kuwa miongoni mwa watu wa Pepo. 🤲🏽@Hurairah @Salum toto @official_omaryjoka @Mith_rouhy @zay_kipini
hiii Qasida sio nzuri tu ya kuifurahia ila inaujumbe mzito sanaa yatupasa kuisikiliza na kuchukua mawaidha yaliyomo... [Red heart][Red heart] big up kaz nzur
2026-11-13 11:22:29
1
ibnuomar600 :
raha ilioje kumuo bayana alofichikana kwa Miaka yote... [Red heart] asant sana mtuzn
2026-11-13 11:36:11
1
MKONGO :
watu wa peponi
2026-11-13 13:02:14
0
🧕RAHMAYNA 🤎🤍🤎🤍 :
🥰🥰🥰
2026-11-12 10:12:27
0
To see more videos from user @ramzee_tz, please go to the Tikwm
homepage.