@hubofwisdom.inc: “Unaweza ukampenda mtu lakini anakuumiza. Unaweza ukapenda mazingira lakini yanakuumiza. You have to let go, then baada ya muda yale maumivu yanapungua kisha unagundua yalikuwa maamuzi sasa uliyoyafanya.” Katika sehemu hii ya pili tumejadili namna ya kujitambua, kuweka mipaka kwenye mahusiano na kujifunza kujipa thamani bila kujisikia hatia. Usikubali kupoteza wewe mwenyewe kwa sababu ya kutaka kuwafurahisha wengine. Futailia mazungumzo haya kupitia Hub of wisdom Inc. kwa njia ya YouTube (Au gusa link iliyopo kwenye bio) —- Shiriki mjadala kama huu wakati ujao… 🌐 Jiunge na Bookclub11 kwa kujisajili kupitia Website: www.hubofwisdom.com/bookclub11 Au piga simu namba 0753825794 kwa msaada zaidi Tupatie maoni yako kwenye comments na endelea kufuatilia ili usikose mijadala mingine inayochochea fikra zako na ukuaji wako binafsi. -— #BookClub11 #Breakups #LetThemTheory #SelfWorth #Thewisetz

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 10:30:06 GMT
1875
97
2
2

Music

Download

Comments

aizen.malcomx
Aizen :
I also made that decision
2026-11-12 11:05:19
0
miss.gyaldem
Glamour🤍🫶♥️🍒 :
nd npo kweny hyo relationship sahv🥹
2026-11-12 11:15:18
0
richbosslady0
Richbosslady :
yaaanj
2026-11-12 11:48:34
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About