@mohamedhafidh_tz: Unajua unaweza kuweka WhatsApp Status ya maandishi na kuipamba kwa mtindo unaoupenda? 👀📱 WhatsApp inakupa uwezo wa kubadilisha rangi ya background, font style na muonekano wa maandishi kabla ya kuweka Status yako. Katika video hii nimekuonesha hatua kwa hatua jinsi ya kufanya hivyo na mambo mbalimbali unayoweza kutumia ili kufanya Status zako zivutie zaidi. ✨ Usiishie kuangalia tu, jaribu na wewe! ❤️ 📌 Tazama mpaka mwisho, LIKE 👍, SHARE na FOLLOW kwa mafunzo mengine ya teknolojia kwa Kiswahili. #whatsapptips #whatsappstatus #whatsapptricks #techinswahili #foryou