mwanadilatu wilaya ya mukulanga tunashida ya umeme wawo wametuleteya nyaya zasimu
2026-11-14 18:05:41
0
Saby Tumain :
Mungu akulinde mwanangu
2026-11-17 19:40:12
1
party boy :
tatzo magazine tu vendors hakuna labda ww mkuu ufatilie mkuu
2026-11-23 12:13:38
0
user9091799307129Mzalendo tz :
Akiri nyingi huyu mtu wetu 💪💪💪💪💪❤️🇹🇿❤️🔥
2026-11-17 08:35:03
0
MKUBWA KILEPA :
tuko huku kimanzichana kijijini tunaomba umeme
2026-11-12 14:35:18
1
Andrew Bracken (Proudly Deaf) :
ni maigizo utupu bila vitendo
2026-11-18 02:08:19
0
george methody :
umeme umepita chini yanyumba yangu mpk reo zaidi yamiaka minne sasa hatuja wekewa umeme nawamesema ifa ire haipo ya 27000 shida tupu
2026-11-24 11:29:30
0
waukaeKasikasi Kasikasi :
ndugu makamu wa Rais ni wapi huko wanaunganisha umeme kwa 27000? Hilo halipo... Mimi nimetumia laki saba kuweka umeme kwenye nyumba yangu Mzenga, Mitengwe au Paris. Hilo la 27000 hakuna. ni maneno ya kisiasa tu.
2026-11-17 15:58:06
0
ccmuvccm :
Mungu akubariki sana mh.makam wa Rais kwa mawazo kuntu yenye kujali wananchi
2026-11-13 12:42:02
0
Honoratha :
kwa hiyo ni 27,000 tu
2026-11-17 10:56:10
0
Msusa wa Msusa :
Wakazi wa mbande kuja huku Tambani mpaka mwanadilatu tunakufuatilia, huku solar tumezichoka
2026-11-18 07:19:32
0
Aslam Msangi :
naanzakukuelew elewa mh nice
2026-11-17 15:21:50
0
malikinkhongenkho :
safi sana mkuu. naomba ufike wilaya ya mkuranga swala la umeme imekuja changa moto ununue nguzo na umeme lakin 3 na 20. mpaka kesho
2026-11-18 08:07:54
0
raspickmlaki :
mungu akuongezee akili sana kaka
2026-11-16 20:09:41
0
Charles Lusekelo :
na vitendo vije
2026-11-23 18:19:55
0
mbura :
Siokwaulafi watanzania
2026-11-17 14:40:09
0
Saby Tumain :
Songa mbele baba
2026-11-17 19:40:57
0
user46187219161181 :
safi sana kiongozi
2026-11-16 15:30:09
0
Ulimwengu Hilari :
tunashida.ya umeme jamani wilaya ya mukulanga kata ya nyakolo tusaidiyeni habari zimufiye makamu wa lrais
2026-11-14 18:09:26
0
isaya mdoe :
huku kwetu korogwe,hilo haliwezekani,meneja wa Tanesko,anasema hata umeme wa reah,nguzo ni laki tatu
2026-11-26 17:57:39
0
Balozi wa Mungu Duniani :
Ni jambo muhimu watu wapewe umeme
2026-11-24 20:09:28
0
anna :
tunahitaji viongozi wazuri km hawa mungu akubariki sa mkuu
2026-11-17 14:01:40
0
maishaomarymsindo :
we ndo raisi ujae baada ya mama samia mungu akuongoze.
2026-11-17 18:22:04
0
Karim Juma :
kwa wabongo tulivyo na roho mbya watattuwekea kweli hawa tanesco?
2026-11-14 07:16:01
1
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm
homepage.