kaka tvs hlx 125 gear 5 kwann huwa zinatabia ya kuzungusha mkono hlf huwa inamlio wa ajab san
2026-11-15 07:43:45
0
Mahaba 12 :
asante bro ila mm nataka kuji funza taming chain ya tvs
2026-11-12 19:49:25
3
methusela e methusela :
ufund wakizaman huo kaka
2026-11-12 19:51:18
2
Wattemi431 :
y kwangu ilkua ina huo moshi mweusi n plugi hazikai nikabadilishiwa jeti kubwa na kweny mwamvuli ile km sindano asaiv heshima plug mpk miez 3 mosh haup0
2026-11-12 16:09:10
0
Mohamedi Shabani :
mm pikipk yangu tvs inapoteza moto nisaidie kaka
2026-11-14 07:00:25
1
Jonathan Baraza :
Yangu TVS 125 hukwamilia race, yani ukiwa unapiga race inabaki ikiguruma kwa juu kabla ya kutulia tena, lakini ukiweka idle chini huzima ghafla
2026-11-13 14:38:34
0
Mr transaction :
nakubali mzee
2026-11-15 10:20:19
0
Gody bajaji Spear parts""! :
vip kwa bajaji tvs nikifanya hivyo
2026-11-14 21:53:08
0
Sele Hassan :
p1
2026-11-15 12:51:37
0
Haroun :
umenisaidia sana kaka
2026-11-13 07:49:32
0
Azizi :
nakubari kaka
2026-11-13 10:32:22
0
Hami wear :
nakubali brother
2026-11-12 13:29:37
0
mhmb Tz :
famliy
2026-11-13 10:49:06
0
Antonio jumbe :
inapatikana wapi ndugu
2026-11-12 12:49:13
0
sisu tz :
nakuelewa sana mkuu
2026-11-12 15:32:13
0
Furaha mwatebela :
Asante bro
2026-11-12 13:19:57
0
jose :
💯
2026-11-13 20:34:01
0
KATEL📱 :
2026-11-12 13:00:02
0
Frank Rowland :
kuna kitu inaitwa to rich(mafuta kuwa mengi) na linen (mafuta kuwa machache) na kingine uchafu unaweza kuuwa plug cha msingi safisha airfilter na kubalance mafuta yasiwe mengi sana au machache sana.kila carburetor inanamna yake ya kubalance kingine plug nyingi siku hizi ni fake cha msingi tafuta fundi anayeelewa anachofanya
2026-11-12 17:11:47
1
James Masanja :
HAIWEZEKANI KUFANYIWA REPAIR KIT NA SIYO HIYO YA WIRE KWENYE MAIN JET,NA AIRSCREW JET MBONA HUJAIFANYIA BALANCE
2026-11-12 12:45:55
1
Bady_motor_bike :
Sasa apo kuna husika vip na kuu plug mzee
2026-11-14 18:08:27
0
Brothers plumbing service 💦 :
Kaka ina bidi ijee mkuu
2026-11-14 07:51:50
0
Ibrahim Bakari :
nierekeze nakingirayon inkura mafuta
2026-11-14 04:57:32
0
Musa Juma :
p 🤣😂😅
2026-11-13 16:49:20
0
Aloboi MC :
inategemea na upana WA tundu sio kila tundu linahitaji nyaya tatu
2026-11-12 14:30:27
0
To see more videos from user @doctorpikipiki1, please go to the Tikwm
homepage.