Mm hua Nasubiria mpaka amalize kula ndo nianze kuongea 😅😅
2026-11-12 17:44:21
22
ben :
nilikuwa naingia kwangu saa moja jioni ...ila saivi naingia kwetu saa Tano ili nikute wameishalala..weekend nilikuwa nashinda kwangu siku nzima ila saivi sijui weekend inakuwaje ila huwa naskia kengele za Roma
2026-11-12 15:31:15
14
✝️ :
asa kwanini muishi ama mme choka kuwa na amani
2026-11-12 19:08:38
1
sophi Tz :
yaani huyo.mie kabisa nikisema Leo hali mtu wala hakupikiki,naamsha alafu naagiza chipsi mbuzi na analipa sasa kinachonichekeshaga ananunua yeye alafu anasusa kula na ela ya Pepsi anatoa nahic anakua kumbe kashakula eeeh🤣🤣
2026-11-12 14:29:21
13
rockcity_cosmetics.daressalaam :
hahahha mi ishanikuta ikabidi nifungue friji nitafune mabarafu maana ndo yaliyokuwepo [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 14:58:54
5
Wakanda. :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 18:10:59
0
rey :
Wangu jana nilisubil apakue kabisa nikaamka kulianzisha alikula bas 😂😂😂
2026-11-12 17:21:36
3
user4668129091500 :
siyo kula tu hata sehem ya kulala kwa zarura
2026-11-12 14:37:40
7
BROWN BRAYTON :
asante kwa code
2026-11-12 16:58:07
0
Jinasa Mpole :
[Crying][Crying] haki kama umeniona Kuna siku huwa sir kabisa nalala na njaa ila kichwan Huwa nafikilia Mengi Sana Au bas
2026-11-12 18:55:23
1
Smart boy :
niulizeni mm 😂
2026-11-12 17:53:05
0
Dr.meditation,MMED :
Navyopenda ligi mbn utapikaa
2026-11-12 17:20:10
1
Ashley@🫂🥰 :
Ndo kilichomkuta jana 😂😂😂
2026-11-12 12:47:05
15
innocent :
big brain
2026-11-12 17:11:27
0
nani :
katika kitu cha kisenge ni ndoa so utani yaan mmewangu ndani ni hataki hata utani ila njee kila mtu lafiki.yake nimeichoka hii
2026-11-12 18:19:28
1
msaka shiling :
kweli kaka dah sikuku moja ilinibidi nile ugali ingali ilikuwa ya kuchinja🤣
2026-11-12 14:21:29
6
muh🥰 :
mm atakama kajikosea vipi nitasubr ale akimalza sasa ndio tuyajenge
2026-11-12 17:37:58
0
Lucy store :
mimi analala njaa mara nyingi tu natafuta makosa nikiwa nimechoka na kazi zangu🤣🤣🤣
2026-11-12 17:07:51
0
Baba feysal :
dahh nilishalala na njaa sana
2026-11-12 18:27:08
1
Noreenmtui :
picha ya ndege unafanyaje???
2026-11-12 15:16:48
2
chapo :
😂😂😂😂kabisa mm napitiaga samaki samaki pale mzumbe nakula nashiba nyumbani nakula kidogo
2026-11-12 14:53:38
2
Last born :
oyaaaa iyo code muimu sana 😅😅😅wasanue wana
2026-11-12 15:05:43
2
Erickkantona14 :
Daah my exact situation
2026-11-12 14:47:57
3
To see more videos from user @abumapunda, please go to the Tikwm
homepage.