@bbcnewsswahili: Manchester United imemfukuza kazi kocha wake mkuu Michael Carrick, Kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu Na kuifanya klabu hiyo kuwa katika nafasi ya 18 katika ligi kuu ya England Michael Carrick alipewa mkataba wa kudumu mwezi Mei mwaka huu na mkataba wake ulikuwa ukitarajiwa kumalizika mwaka 2028. Man United wanatarajia kumtangaza Mauricio Pochettino kuwa kocha mpya Baada ya kufikia nae makubaliano ya awali ya kuja kuinoa United #bbcswahili #foryou #fyp #manchesterunited #carrick

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 13:01:33 GMT
114905
8907
82
194

Music

Download

Comments

abditotheworld2026
Abdi :
Kwahiyo shida ni makocha au team
2026-11-12 13:28:15
8
abdoulmkali
abdoulmkali :
na Mimi nahamia Man city tafadhalini
2026-11-12 15:40:29
3
cholo_bey10
CHOLO BEY 10 :
dada una saut nzur sana wallah
2026-11-12 16:42:41
1
nicholasmwanzia09
captain :
alonso is next
2026-11-12 16:26:37
0
keneth2550
April 24 🇹🇿🇧🇮 :
gari bovu wanamfukuza deleva
2026-11-12 13:45:07
6
bishopelly
BishopElly :
huyu nae anaijua kazi yake... hii ndio sauti ya dhahabi sasaa❤️❤️❤️
2026-11-12 15:42:16
2
lastbornvnk
Miss Kiwia :
Asantee Mungu tumechoka kufungwa kila siku 😭😭😭😭
2026-11-12 14:43:16
1
gwaki.masetta
Gwaki Masetta :
Kushuka Daraja is a must
2026-11-12 13:33:32
1
nelson.sifuna
nelson sifuna :
ondoa jam kuna wazeee hapo inafaa watolewe kwa hiyo team ya Mama Esther kwanza
2026-11-12 17:32:37
0
boru.tadi3
boru tadi :
changing of coaches is not solution
2026-11-12 16:12:47
0
justine.magnm
Justine Magina🇹🇿 :
Hapa hakuna kocha aise tabu ipo pale pale hii timu yangu
2026-11-12 17:22:13
0
gen_z___9
GN9 :
SHIDA SIO COACH WATAPITA WENGI
2026-11-12 16:22:22
0
vocx.hd
VOCX :
problem management
2026-11-12 16:25:26
0
samuel.mwanja
Sani Sam :
Hatapata chochote
2026-11-12 16:31:39
0
cheruiyothamos
Cheruiyot Hamos :
kama ni mbaya itabaki mbaya
2026-11-12 16:11:04
0
meshwambua3
Mrtylor man 💪🤞 :
strong 💪🤞🏃
2026-11-12 16:33:27
0
mshefanahan
MSHEFA NAHAN :
amen
2026-11-12 16:47:18
0
staki_unafiki
It’s me Again 🇩🇰 🇩🇰 🥱🥱 :
Man united wanatakiwa waridi kwa Sir. Alex Ferguson 😏😏😏
2026-11-12 13:08:59
0
254_qersinah
Frank_Qersinah :
Timu yenyewe imeoza kisha mwatatua shida na kuwafuta makocha
2026-11-12 15:11:57
0
zungu9082
zungu :
ni wale wale to
2026-11-12 15:19:01
0
commentato1
Commentator1 :
shida sio coach just wait tutapigwa tu
2026-11-12 17:22:09
0
mbembahalisi622
mbembahalisi622 :
kazianayo
2026-11-12 15:24:08
0
user8342116113619
0mar bare :
hamna kitu apo
2026-11-12 15:57:58
0
emery.mbirinde
Emery mbirinde . :
mabosi ndio shida
2026-11-12 15:22:11
0
john.mwita541
John Mwita :
wanatapatapa
2026-11-12 13:09:46
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About