@pmakanshu_life_revival: Wewe ulitumia njia gani kupunguza unene haraka na bila stress.? Comment njia uliyotumia ili uweze kuwasaidia wengine wenye changamoto iyo. #kuishibilamagonjwainawezekana #creatorsearchinsights #healingisaprocess
Miezi miwili iliyopita nimeanza kufuata marlekezo yako Dr. Hasa kwenye suala la Lishe! Nimeyoka kilo 83, leo nimepima nina Kilo 72 na kitambi kimegooo
2026-11-17 14:55:23
4
Fremeda Luvanga :
nmekukubari saaana doctar wanguu
2026-11-19 13:53:33
1
tumainimwambawetu :
tushauri machef nn chakufanya ili tupungue
2026-11-19 21:40:39
0
Nairath Alphath🩷🩵 :
mm nimenenepaa gafraaaa jmn😭
2026-11-12 17:20:21
1
Umm_Dyna :
Nilipunguza milo breakfast lunch dinner.
mlo wangu wa kwanza nilianza saa sita mlo wapili saa kumi na mbili. kwa miezi miwili nikawa mlo ni mmoja kwa siku nikaacha sukari kabisa .
2026-11-12 19:45:53
1
To see more videos from user @pmakanshu_life_revival, please go to the Tikwm
homepage.