@massoudkhaifan: Wazazi ni miongoni mwa neema kubwa ambazo Allah ametujalia. Ni watu waliotupenda, kutulea na kujitolea kwa ajili yetu kwa namna nyingi. Hata kama hatuwezi kuwalipa kwa yote waliyotufanyia, tunaweza kuwaombea dua na kuwafanyia wema kila tunapopata nafasi. Tusiwasahau wazazi wetu katika dua, wawe hai au wametangulia mbele ya haki. Allah awarehemu, awasamehe na awalipie kwa kila jema walilotufanyia. 🤲🏽 Aamiin Ya Rabbal-‘Aalamiin. #jumaamubarak #foryoupage #foryou #viral