@lukestava: UNAWEZA KUTENGENEZA ARTWORK ZA UKUTANI BILA KUWA NA ELIMU YA GRAPHIC DESIGN! 🔥 Na zaidi ya hapo, unaweza kutumia ujuzi huu kutengeneza biashara na kupata pesa ukiwa na simu au computer yako. Nilitengeneza hizi artwork kwa gharama ya TSh 300 tu! 😳 Siri ni kutumia AI vizuri. Unachohitaji ni: 1️⃣ Pata inspiration Pinterest. 2️⃣ Tengeneza prompt kupitia ChatGPT. 3️⃣ Generate artwork yako kupitia Studio Mkononi. Ndani ya dakika chache, unakuwa na design ambayo unaweza kuitumia kupamba office, kuuza kama wall art au kuwafanyia clients. Naamini ubunifu haupaswi kuwa mgumu wala kuwa na gharama kubwa. 📌 COMMENT STUDIO MKONONI nikutumie link na prompt niliyotumia ili uanze kutengeneza zako. Studio Mkononi, ubunifu wako kiganjani mwako. 🚀