@mwalimusteph: #FYP #tiktokkenya #tiktoktanzania #wachina

TichaStephano
TichaStephano
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 14:27:14 GMT
24485
1724
339
115

Music

Download

Comments

gladiola.paschal
Gladiola paschal :
truth bro umemaliza kaka
2026-11-13 04:12:10
8
venancekiria
venancekiria :
natamani sana hii sauti yako ifike mbali paka mhe.Ndejembi aipate
2026-11-12 19:27:57
59
husein4107
husein :
sio wachina tu hata wahindi
2026-11-13 03:33:44
14
user2336706097438
bahati chombo :
umeongea vizur sana kaka
2026-11-13 04:31:03
12
user821300197
Iron Bull :
Ndugu yangu, unaweza kupiga makofi kwa mkono mmoja tu? Lengo langu ni kusema kwamba, hata kama mwajiri hajakulipa kwa wakati, hiyo haikupi ruhusa ya kujichukulia sheria mkononi. Kuna taratibu na vyombo husika vya kufuata. Hili linapaswa kuangaliwa kwa pande zote mbili, si upande mmoja tu. Tafadhali elewa hilo.
2026-11-13 05:17:51
4
singano98
singano :
mgenii akija kwako anaona wew huwajali watoto wako jee yeye atawajalii, mtanzania hanathamani ndugu yangu.
2026-11-13 02:51:03
14
frankrichardkilongoz
💥OP KILONGOZ✍️💥 :
Broo wew unatosha kua mwanasheria wetu
2026-11-13 04:17:16
19
faraja.msaki0
Faraja Msaki :
BROTHER!, BROTHER!; BROTER, ""NYAMAZA""NYAMAZA BROTER🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿UMEMALIZA KILA KITU. ONLY THAT POINT, YOU FULLFILL.
2026-11-12 21:00:07
13
abuu.haha
abuu haha :
manager steve
2026-11-13 06:15:16
0
thelisvalema747
tor web :
the point is suffering from consequences
2026-11-13 05:31:57
0
mom.aboubakar
~Mom aboubakar :
Wote waliiongea wewe ndo umeongea jambo la msingi wallah Mungu akubariki sana huyu kijana kaamua kuwasaidia wengine japo kuwa hawalioni hili
2026-11-13 04:48:39
5
anslausjuma
ndanda mc :
shida selikari aipo nasisi ipo na wawekezaji so sisi niwatumwa na selikari imekubari wananchi tuwe watumwa atuna sauti,tuna wabunge wenyekt wa mitaa wakuu wa wilaya, ila wana msaada nasisi
2026-11-13 06:20:28
1
gwilakidinilo245
gwilakidinilo245 :
watu wanapitia manyanyaso makubwa sana dhidi ya wageni halafu wizara ya ajira na kazi ipo tu....kuna vyama vya wafanyakazi cjui tuico sijui tamico....na hakuna tamko lolote linatolewa huku watu wakiendelea kuteseka.......
2026-11-12 21:29:52
7
kedraluke
Kedra Luke :
point mr
2026-11-13 04:44:44
0
leopordrweyemam
leopordRweyemamu :
dah hii sauti inamegi ya muhim ongera sana kiongozi umeongea mambo ya muhim sana 🙏🙏
2026-11-13 05:23:17
2
eddy.funiture
Eddy Funiture :
big point
2026-11-13 05:07:52
0
gabliel56
mzuzu :
kaka yupo sahihi kwasababu haki hakuna haki wanapewa maboss
2026-11-13 03:39:19
5
engineermashauri
Engineer M. Idindiri :
CORRECT
2026-11-13 06:05:10
0
chui.sport.analyst
CHUI SPORTS ANALYST :
kijana yupo sahihi kwa kila kitu
2026-11-12 23:43:20
5
user34967345284385
user34967345284385 :
watu wengi wanaangalia matokeo,badala ya kuangalia chanzo cha tatizo...broo we we umetisha
2026-11-13 04:22:37
1
chibigas3
Mkata switch ⚡ #04 :
mkuu una akali nyingi sana lazima watu wajikite kwenye chanzo na sio matokeo
2026-11-12 21:57:50
1
kizaazi.cha.myamw
kizaazi cha mnyamwezi :
fikiria hivi unamdai boss mtoto anaumwa unampeleka hospital unaambiwa kalete pesa ili matibabu yapatikane unamfuata mtu unamdai mshahara miezi mi4 anakuambia pesa haiwezi kutoka mpaka niiandikie kampuni ndy itoe hela
2026-11-13 05:44:17
3
opkidetz
opkideTZ🦺🦺 :
Kweli kaka hata Sisi Ni ma operator tuna pata tabu Sana kuanzia Pesa Na hamna hata mikataba
2026-11-13 05:47:57
3
user6136322732374
J mpare :
iyo elf8 ni nyingi maana Kunawengine wanalipwa 5700, inasikitisha sana
2026-11-13 04:16:39
1
claudmassa
MGOGO OG TZ by mnyagatwa :
brother nikwer vijana tunapitia wakati mgumu sana kwanza hatuna mtetezi wa kututetea
2026-11-13 01:05:05
3
To see more videos from user @mwalimusteph, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About