@ebrasdigital: Kutoka Geita ni Mkuu wa Mkoa wa Geita amezungumza na kufichua namna Wakurugenzi wa Wizara namna wanavyo piga dili zao.

Ebras@info
Ebras@info
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 14:38:16 GMT
10548
331
22
32

Music

Download

Comments

petermachoga5
peter Machoga :
Si kweli, budget ni shirikishi
2026-11-12 16:17:01
0
king69973
king :
AISEE, TUMEKWISHA WE WILL BE STAGNANT FOREVER!!
2026-11-12 15:38:05
1
philemonjohn555
Philemon :
Mbona unatoa siri ya jeshiii
2026-11-12 16:57:58
1
thabisabukelebe
SHIO EPIMAKI BIKININI :
munyeti huwa nakukubali sana vipi njoo nyawilimilwa basi baba Kuna majengo ya kituko Cha afya hatuelewi kinachoendelea
2026-11-12 17:00:29
2
msike_
BM🇹🇿 :
Eti Makurugenzi yai Makurugenzi MAKURUGENZI
2026-11-12 16:33:45
2
pross32
pross :
watumishi wameguzwa wezi kila siku...hizi nazo zinajenga chuki kwa wananchi....
2026-11-12 16:15:51
0
eddo790
Eddo :
Kuna ulazima mkubwa sana wa makatibu wa wizara na wakurugenzi wa taasisi na Tamisemi kuajiriwa/kuchaguliwa na watumishi wa sehemu husika kuliko kuteuliwa, itapunguza sana upotevu wa fedha za umma na kuwapa watu sehemu nyeti ambazo hawakustahili
2026-11-12 16:27:43
0
user70748363350408
Silas Sebastian :
leo umeharibu
2026-11-12 17:34:05
0
sakayonsa2
sakayonsa :
fact mkuu
2026-11-12 17:13:21
0
andrewautopaint
Andrew Auto Garage :
Kuna mambo haya ✌️
2026-11-12 16:18:43
0
brz1163
BRZ :
Wakurugenzi
2026-11-12 16:12:08
0
nadhilu.sefu
nadhilu sefu :
2026-11-12 16:43:23
0
mbwana.rajab
MBWANA RAJAB :
Pia angalia uwiano wa mishahara na posho za wafanyakaz wenu na viongozi wa kuteuliwa Yaani mfanyakaz analipwa shilingi laki tatu na nusu na anakatwa kodi na mteuliwa anapata milioni 16 hakatwi kodi yoyote Akistaafu mfanyakaz wakati akiwa na miaka 60 anapewa milioni 50 au 40 tena kikokotoo kinamsubiri na kachoka sana lakini mbunge tu miaka 5 akitoka ana marupurupu milioni 500 na hakuna kikotoo wala kodi Tutafakari hili
2026-11-12 16:58:18
0
sensema_1
TITO🥁🪘 :
RC hutakiwi kujadili swala Lilo juu yako unatakiwa kujadili kuhusu mkoa wako TU. uta uponza.
2026-11-12 16:57:42
0
mrombo.welding
mrombo welding &Aluminum :
makofi umetobowa sir
2026-11-12 16:15:06
0
eric777ru
eric777ru :
Kumbe kuna ujambazi 🤔
2026-11-12 17:16:36
0
alufani.lombwe
Alufani Lombwe :
Sasa ayo majizi yafanywaje
2026-11-12 17:35:27
0
To see more videos from user @ebrasdigital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About