Aisee umejitahidi sana, na utapata mashabiki wengi sana, ebu jitahidi ulete na zile za Ezekiel mwana wa Malongo, na Hilo kosi la yanga awemo Seklojo Johnson Chambua
2026-11-13 06:58:42
1
HASSANI MNYAMILI :
aisee. enzi zetu. ila Yanga toka zaman hawana camera ya HD mana hawaonekan vzr
2026-11-12 15:49:48
2
me :
majina ya wachezaji wa zaman ya kibabe niko bambaga, tingisha
2026-11-13 04:54:45
1
altaf Osman Suleiman :
picha tofauti na list inayotangazwa
2026-11-13 03:39:01
0
Juma Kagoma :
daaah naijuwa hiyo
2026-11-12 23:42:34
1
Selemani Hamisi Mgaya :
ila kikosi cha simba ulichokitaja sio icho pichani
2026-11-13 08:22:52
0
Daudi Samweli :
dah kaka ahsate kunikumbusha enz zetu
2026-11-13 09:18:14
0
user9361139949694 :
eeeeeh umenikumbusha mbali sana duuuuh kipindi hicho Tbc ndo redio yanchi
2026-11-13 08:38:31
0
Adamkombo1 :
wakati hoo TV wakiisikia Kuna TV hawajui TV nn mpakaka waende zanzibar
2026-11-13 03:06:48
1
Bwengo Abdallah :
sio sasa hivi Herisi anaandaa bahashia ili ashinde
2026-11-12 20:01:18
0
Abdulkhalipha ๐ค :
Ivi Kwann iyo saut ilikua inapanda na kushuka๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐
2026-11-12 20:29:56
0
FILAE(food is life and energy) :
kuna enock bugane akiwa na chacha magiga, huku pemben yuko mwalimu kashasha hatari
2026-11-13 06:17:35
1
East Rift Expeditions :
wa ma bus ya njano mtupishe wengine ni vitukuu vya Joseph katuba
2026-11-13 08:34:08
0
Abdi Mulusa :
sikiza tu Raha ya mtangazaji, hivi walivyo ondoka mbona hawakuwachia kizazi kipya huo utangazaji? imagine huku ni Kenya
2026-11-13 09:13:32
0
To see more videos from user @bravoo551, please go to the Tikwm
homepage.