@ticha_fungo: Ndugu Watanzania Mbele yenu ni Kikao cha Dharula cha Kujadili LAKI TATU NA NUSU iliyotolewa na Mheshimiwa Mwenyekiti @comrade_kawaida 🔥Kikao Kilikuwa Kigumu sababu Dhulkarnain na Mulilo wanataka kugawana Cash ila PENDO na ABUL wanazingatia Maelekezo yaliyotolewa na Mheshimiwa 🔥 ... Asante Sana Comrade Kawaida Inatia MOYO Sana kupata Support kutoka Kwa Kiongozi Kama wewe! Mungu akaongeze ulipo Punguza 🤝 #SupportVipaji #FutureOfTanzania #TichaFungoTalentDeveloper

Ticha Fungo
Ticha Fungo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 15:29:54 GMT
39020
4395
208
49

Music

Download

Comments

madam_naxy
Madam-naxy :
hivi mlilo😁yuko serious kweli
2026-11-12 19:23:16
38
elsonmbowe
Hernandez :
zulka 9 na mulilo mmetisha
2026-11-12 15:33:57
27
suzanne3043
🦋Suzy🦋🦋 :
Weeeeeh😂😂😂
2026-11-12 15:52:02
46
bintmzava0
bintmzava evalin :
muliro wa moto
2026-11-12 18:05:31
11
mushy862
mimilicious🥀🦐 :
Tearcher fungo hi shule ipo wap nntaka kuja tu kwajili ya mlilo jamnh 🥰🥰
2026-11-12 16:05:36
20
madamstella81
Tr. Stella ❤️ :
Leo kikao nikongoza mwenyewe😂 semeni wanawake tunaweza 💪💪💪💪😂😂😂
2026-11-12 19:00:49
8
user8002581994627
Alex nemes :
true talent ntakutumia mwanangi sikuizi nakukubali sana
2026-11-13 08:59:13
3
mikiee6
mikiee :
hawa watoto huwa wana nifurahisha san asee 😁
2026-11-12 18:10:47
10
__itzdee
__Itzdee :
😂😂😂😂hahahahaha Hela inahitaji kuchezeshwa
2026-11-12 15:41:56
10
mood__njanja
mood__njanja :
Kumbe awa watoto ni ccm😳🙌🏾
2026-11-12 19:39:14
3
habitaattttttt
habitaattttttt :
Hela zinataka ujanja 🤣🤣
2026-11-12 15:52:47
3
swack2896
John Swai675 :
😆😆😆😆😆😝😝😝😝😆😆😝😝😆 safiiii good idea
2026-11-13 03:35:25
0
desdeliuschubwa
Desdelius Chubwa :
muliro anakuwa serious
2026-11-13 06:41:31
0
maman11556
Mwema :
team zulka na muliiro mpo
2026-11-12 16:58:05
17
cathycollection8
Cathy Collection🎀💄 :
hela zinataka kuchezeshwa 😂😂
2026-11-12 16:20:02
8
officialjay031
Engineer 2026 :
Murillo anaanza ku trend😂😂😂😂😂
2026-11-13 09:03:24
1
eze_store09
eze_store :
hii combination ya mlilo zulk9 na abdul ni noma sana
2026-11-13 07:21:03
2
jadeadenuga
Jade Adenuga :
ila mulilo namkubali kinoma
2026-11-12 21:08:26
3
franktza0
frank :
😁😁😁
2026-11-12 21:05:41
1
kyamba.rungwe
Kyamba Rungwe :
Mimi jenzii
2026-11-13 05:45:56
2
shadymeshack30.com
shady suzuki30🕊️ :
2026-11-12 17:27:13
2
sandante5
San :
mililo kwa mipango
2026-11-12 16:41:02
3
maxwell.fwamba
Maxwell. fwamba :
Mlilo niombe nibarikiwe
2026-11-12 16:35:40
0
user12601468062220
silvas :
chuga na mpemba siwaoni Ticha
2026-11-12 15:38:07
3
blessglunyali
bless :
true pesa znataka kuchezweshwa 😂
2026-11-13 05:59:05
1
To see more videos from user @ticha_fungo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About