@werise_590:

Abdurahman
Abdurahman
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 15:48:43 GMT
19449
490
22
8

Music

Download

Comments

lut2923
lut :
Sio kama wazee hawajali jamani hizo ndio sehemu zao za kuchezea sehemu nyengine hakuna uwanja wa kuchezea kama huko kwetu mpendae cha muhimu na nyinyi madereva muwe makini munapoendesha vyombo mujue km munapita sehemu zenye watoto
2026-11-12 17:28:35
12
sakhmaty47
Sakhmaty47 :
sasa wakacheze wapi kabraa ?
2026-11-12 16:00:09
1
rahilathiney11
Rahilathiney11 :
nilikua naangalia kwa makini iyo Video nikimuona mwanangu nikamchape 😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-12 21:00:44
1
ummyabel
Ummy abel :
Ni kwetu apo
2026-11-12 20:19:26
1
asia_mtumwa03
Asia_mtumwa03 :
Sasa wacheze wap nasehemu za kucheza wamejenga barabara
2026-11-12 17:34:43
2
user44790571209376
Chacho :
mazingira mazur sana wapi huko
2026-11-12 19:02:44
1
mkongwe5
user3310841798159 :
Hii Zanzibar Hii kweli
2026-11-12 18:25:51
1
kivuruge_001
kha :
kweli 🫡
2026-11-12 20:01:12
1
aishamtabe
aisha_mtabe :
na hamna ata matuta Allah attatufanyia wepes
2026-11-12 16:10:04
4
09876bgjd
ABDUL :
OPEN SPACE ZOTE ZISHACHKULIWA KISA MAENDELEO
2026-11-12 18:21:24
1
user1718614903284
chabi :
Allah atulindie vizazi vyetu
2026-11-12 17:18:15
1
user8734618823490
fety :
na hapa kwangu ndio wanacheza mpira, ila kwaupande mwengine hawana sehemu za kucheza mpira
2026-11-12 17:40:54
1
waydahaji
waydahaji :
sio kujali hayo ni maenel yetu y kukaa na kufanya shughl pamoja n wttt kucheza lkn madereva mumekuwa nd km mupo mainroad
2026-11-12 19:57:24
0
khadijamachanoabd
dida Abdi :
njia ya sebleni hadi dukani kwa mzeee ali
2026-11-12 17:07:04
1
shadyamaulid1
shadya maulid :
kwaio tukae nao matakoni mda wote au
2026-11-12 17:36:59
1
aniyag813
Aniya G :
hatutafanyaje na tumejengewa chini ya matako
2026-11-12 17:23:47
1
zanzibarian4
أنا محمود زنجبار.🏝 :
waeke matuta ya kupunguza mwendo
2026-11-12 18:32:25
1
allynuhusadinga
sadinga :
wallah na ukija gonga utaambiwa kusud
2026-11-12 16:45:28
1
ahmedbrown02
ahmedmustafa413 :
muwe makini nyinyi watu wazima munaondesha vyombo sasa wakachaeze ndani tu hzio ndo nyumba zao na hazina nafasi pakuchezea
2026-11-12 19:38:24
0
asedijr
💯 asedi :
😁kipanda maity hiyo soo ppp😳😳
2026-11-12 21:06:29
1
To see more videos from user @werise_590, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About