capital ndio inamata,, vijana still tunapambania capital iwe kubwa tuje huko
2026-11-12 18:06:21
4
mathayomichael8 :
umesema ukweli
2026-11-12 17:32:27
2
kigosmart :
Marekani ,benki ya Lehman brother ilikuwa na over 600 billion dollars in assets ila ika collapse ,je hiyo local bank inaifikia Lehman brother mara takribani 60,mzungumzaji awekeze ila asijihakikishie kama financial crisis haiwezi tokea maana baada ya miaka kadhaa popote pale inatokeaga na makosa ya binadamu daima yanajirudia maana tabia zetu hazibadiliki
2026-11-12 19:26:10
1
yyy :
watu hawana liquidity ndio maana a quick way to build capital ndio hiyo
2026-11-12 18:33:00
2
BBM437 :
daaaa naitaji sana kuifahamu haya mambo
2026-11-12 17:57:05
2
Divine presence :
Hii podcast inaitwaje ivi?
2026-11-12 18:27:20
2
user3370671782842 :
namba ya huyu jamaaa napataje aseew
2026-11-12 17:39:23
2
User108263828 :
Kwahiyo kila mtu anunue hisa za CRDB [Tears of joy]?
2026-11-12 19:12:27
1
amazing7TZ :
na anakosea awali alipata hela za kununua share wapi????
2026-11-12 19:04:33
2
rdee :
Maneno mengi lkn hamna kitu hapo
2026-11-12 18:54:49
2
west giant :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-11-12 18:48:06
2
Owden Mwaipungu :
😂😂😂
2026-11-12 17:28:18
2
To see more videos from user @mr.hisa, please go to the Tikwm
homepage.