@samol.automotives: Faru john ndio alinitoa garege adi leo kua dereva. 📍: Tunapatikana Tabata Matumbi, Nelson Mandela Roads, Dar es Salaam 📞Tupigie simu : +255 752 600 700 🚛''Samol Automotives tiba ya Gari yako'' @FARU JOHN @kidemsela 💸 #newtrending #viral #creatorsearchinsight #tiktokviral #fyp
KWAKWELI FARU JOHN NI MWEPESI SANAAA WAKUJIBU MSG BINAFSI KWENYE HII SAFARI YANGU ALINITIA SANAA MOYO,MUNGU AZID KUMTUNZA HUYU KAKA NAWENGINEO WOTE WANYE MOYO WAKUWASAPOT WENGINE🌹🌹🌹🌹🙏
2026-11-12 19:19:25
2
Irene ❤️🩹❤️🩹 :
Mbona niitwe Dada? mdada wa kazi au sema haya maisha kmmk fresh zenu tu umeshindwa hata kuniita dereva? Appriciate zetu hatuzikati pia we move 🫡🫡🫡🫡
2026-11-12 19:35:43
0
G wa QC :
Tumpe jina la mkombozi wa ndoto za mtoto wa kike anayetaka kuwa dereva @FARU JOHN 🫡🫡🫡
2026-11-12 18:10:24
2
Agogo Jr :
@FARU JOHN wew ni zaidi ya mtu kaka.... God bless you, Wakati wa mungu ni wakat sahih
2026-11-12 18:09:13
2
Chriss Th3 D0n3 💫❤️🔥 :
Kwa heshima ya @FARU JOHN
2026-11-12 18:06:54
2
Fezol || Graphic Designer :
Anitwa Capten Videngra @FARU JOHN Mwamba an Moyo Mweupe Zaidi ya tishu🫡
2026-11-12 18:00:38
2
J classic :
🫡
2026-11-12 19:02:42
0
Usidharau Kazi Yangu :
@FARU JOHN kwa eshima
2026-11-12 19:09:52
0
💫 :
💪💪💪💪💪💪
2026-11-12 20:53:05
0
To see more videos from user @samol.automotives, please go to the Tikwm
homepage.