@yakutty_: Raundi nyengine tena #tanzania #planespotting #daressalaam

yakutty
yakutty
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 16:31:12 GMT
127860
7223
240
107

Music

Download

Comments

jaliluzaid
Jalilu Zaid :
Ndege zote hizo nishazipanda[Tears of joy]
2026-11-12 18:11:25
62
last.born59390
Last Born 🇹🇿🌍✈️ :
uishi tanzania kazi sana[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-12 18:14:32
8
fazzletv
DR.FAZZLE DLDM TZ🇹🇿 :
daaah ila Tz kunawatu wengi wa usalama
2026-11-12 17:47:59
65
williamtenga_
William Tenga :
Hapo ni Kitunda Relini mzee 🤣🤣🤣 apo umesimama kuna kambi ya Jeshi la Anga 🤣🤣🤣 huyo alikuja apo kukudaka ni mjeda Hilo eneo linaulinzi kila raia afande apo
2026-11-12 17:54:15
53
nickphones
TRUST NO ONE 🥷🖤 :
Tatizo apo mlipo enda kupiga picha ni sehemu ya Jeshi🤣🤣
2026-11-13 09:19:10
18
jumaamigo31
Amigo makaveli🧑‍🦲🧑‍🦲 :
kiwalani iooo[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-13 04:18:11
3
experteagle07
MidwintEr🦅 :
mlichukuliwa na Wamiliki wa Anga lao 🦅
2026-11-13 15:05:34
10
erryck.tommy
Erryck Tommy :
samahani nina swali naomba unisaidie je kupiga picha ukiwa umeseti vivid au neutral ipi Bora kwaajili ya kufanya color grading 🙏
2026-11-16 08:04:46
4
igitanga_
Igitanga :
KAMA KUPIGA PIcha za ndege tu ! watu hawa hapa. nawakumbusha tu kuna watu tuliambiwa walivamia mwakajana wakakichafua na kuondoka bila kushikwa😂😂😂😂. kweli ya ngoswe nana mengi
2026-11-13 04:16:17
9
tizo_26
Tizø 🐍 :
sas mkuu kupiga picture tu nayo ni kosa
2026-11-12 17:15:23
2
amufati
Amufati💣 :
mara kidogo wazee haoo [Tears of joy][Broken heart]
2026-11-15 13:28:37
1
mugamsafi_
mugamsafi_ :
me sijui sana kuhusu photography, ila mbona kama ungechukua na izo miti sjui nyaya za umeme ingetokea dope sana, kuliko kuchukua tu ndege ikiwa plain ivo, ama? 🤔
2026-11-16 10:42:41
1
sleimanjuma
Sule😎 :
Inaitwaaa gusa unaseeee😁😁😁
2026-11-13 05:28:27
1
namikoa69
nchimbi_245 :
You miss FLIGHT LINK 😂😂😂
2026-11-13 06:14:16
0
itc_mee
Itc_me❣️… :
Woiii kwahio mtu usikuze kipaji na ajira eti😂😂😂aaah rate of unemployment inachangiwa kwa nguvu mzee😂😂😂
2026-11-12 19:09:17
5
hassapere
MAKATALAYI :
Lorenso the president of 🇦🇴
2026-11-13 15:37:42
0
gidionlemanya
gidionlemanya :
Location kitunda relini
2026-11-13 16:50:58
1
iindigo.bikestz
iindigo bikes :
🔥🔥🔥🔥 nomaa
2026-11-13 07:04:01
1
gregory_700
yeung Gee :
😂😂😂umekuja kitunda relini mtaani kwangu
2026-11-13 18:14:07
0
bryan_classic3
Bryan_Classic :
na uku upo kaka [Fire][Fire][Fire] bila kuchoka mkuu
2026-11-15 04:55:27
1
deesello1
Sello philex :
sorry, picha za watu hupigi?
2026-11-12 19:33:08
1
mtandaonii
Prosper Mungure. :
Hqah [Fire]
2026-11-12 19:04:28
1
chim0nit
ℭ𝔥𝔦𝔪'ℭ𝔥𝔦𝔪 :
Bomba dear la Mr ADELEKE
2026-11-13 15:13:56
0
deboy_tz
𝐃𝐄𝐁𝐎𝐘 𝐂𝐀𝐑 𝐓𝐙 :
Mayback ya angaani😁
2026-11-13 09:02:04
2
mbegu_ya_imani
Maisha ya Watakatifu :
PIPA LA TAIFA
2026-11-15 05:25:18
1
To see more videos from user @yakutty_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About