May God bless all faithful women and men in their hustle
2026-11-13 06:56:39
16
Chaga Girl🦋 :
Wanawakee kama uyuu tumebaki mm tuu na uyuu dadaa
2026-11-12 20:33:48
77
vaileth d🥰🥰 :
ilikuwa mwaka gani hii
2026-11-12 19:48:01
29
call me jay :
nataka mwana mke kama uyu tuka anze maisha nampata wap
2026-11-13 06:30:46
5
Nova business :
Super cool
2026-11-13 09:12:12
0
Nigel mhike :
who was the camera man
2026-11-13 08:27:22
2
paulo :
muwe na maishamwema mungu awalindwe
2026-11-12 18:22:51
38
Emmanuelle @53 :
title of this song its urgent
2026-11-13 09:06:35
0
Jayden 🫴 :
when the right time comes you will just finds the right person
2026-11-13 04:19:31
5
mr matutu :
vijana wanapenda sana namba kuliko maelezo asee
2026-11-13 04:00:16
2
JASTINI ole mbasu mbuuchee :
kaka kma ni kweli sio move basi brooo umebarikiwa sanaaa umepewa kulingana na ww ulivyo aiseeee MUNGU Awalinde sanaaa jengeni familia enye amani na upendo 🙏🙏
2026-11-12 18:52:31
21
MANI boy :
apreshet sana broo
2026-11-13 07:41:30
0
danielmfitumukiza7 :
they have Prayed of which is sooo best in Planning for the day
2026-11-13 07:16:41
1
UtimNiMungu Charles :
One Love ✊️
2026-11-13 08:57:35
0
Elza :
bhna aya nimejikuta narudia mara 2
2026-11-12 19:14:33
5
𝕞𝕣 ᵐᵘˢʰⁱ$$# :
ukiskia mke wa ujana wako ndo huyu sasa big up mkuu🤲👊
2026-11-13 06:07:06
5
Michael Gabriel :
Hii content inatufunza jinsi maisha ya ukweli yanavyo kuwa ila kwa karne ya sasa hadi inanipa changamoto ya kuoa lakini namuomba sana mungu anipe mwanamke ambae ataelewa harakati zangu na mimi pia nimuelewe japo hakuna makamilifu Ameen
2026-11-12 19:27:06
7
ccutty 🦋🦋🥰 :
jamn nimewapenda buruu jamn 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-12 18:17:59
11
Killer8 :
sijaoa ila hakuna mwanamke wa ivi mzee
2026-11-13 08:28:08
3
swaraely boss :
yan nimecheki hii video mpaka nimetoa machozi aiseeee maan huyu wangu kila siku nashinda nadelete namba ngeni aiseeeee kuna siku mpaka nikakuta namba imesaviwa gari jekundu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-13 08:21:31
1
Mr Samuel :
piège mes amis cilibataire
2026-11-13 07:23:27
1
baby g👀 :
ni bora kuishi maisha ya aman kw umaskin lakin so kuishi maish bila.ya aman kisa money 💰 nataman na me nipate family kama hii🙏
2026-11-13 08:09:49
1
asha :
hapo ni nchi gani na ilikua ni mwaka gani
2026-11-13 04:31:16
4
sweet melody 😘😘🇸🇦🇦🇪🇬🇸 :
If you see a successful man, there must be a supportive and prayerful woman, ama nimedanganya 🤔🤔🤦 ❤️..
2026-11-13 06:47:33
3
TEMBO wa tabora :
mungu baba nisaidie na mm nipate mke kama huyu 🤲🤲🤲
2026-11-13 05:17:13
0
To see more videos from user @kibopa.official2, please go to the Tikwm
homepage.