@alfatah.tv: Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mh. Hemed Suleiman Abdulla, ameendelea na ziara ya kikazi Wilaya ya Kaskazini 'B', Unguja, kwa kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi moja kwa moja. Ziara hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Nane katika kuimarisha uwajibikaji, kusimamia miradi na kuhakikisha sauti za wananchi zinasikika. #Zanzibar #maendeleo #uongozibora