@mohamedhafidh_tz: Unajua unaweza kuweka MUSIC kwenye WhatsApp Status yako na kuchagua wimbo unaoendana kabisa na mood yako? 🎶🔥 WhatsApp imekuja na kipengele cha Music Status kinachokupa nafasi ya kufanya mambo mengi zaidi ya kuchagua wimbo tu! Katika video hii nimekuonesha jinsi ya: 🎵 Kuweka Music kwenye WhatsApp Status. 🔍 Kutafuta wimbo unaoupenda kwa kutumia Search. 😊 Kuchagua nyimbo kulingana na Mood. ⭐ Kuhifadhi nyimbo unazozipenda kwenye Starred ili uzipate kwa urahisi wakati mwingine. Sasa unaweza kushare Status yako ikiwa na muziki unaoendana na hisia au mazingira yako. ❤️ Je, umeshawahi kutumia Music Status kwenye WhatsApp? Tuambie kwenye comments! 👇 Usisahau LIKE, SHARE na FOLLOW kwa mafunzo mengine ya teknolojia kwa Kiswahili. #whatsapptips #whatsappmusic #whatsappstatus #whatsapptricks #foryou

Mohamed Hafidh
Mohamed Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 16:55:26 GMT
2187
140
9
2

Music

Download

Comments

sosssossy2
Sossy :
❤️❤️❤️Asante sana
2026-11-12 17:45:10
1
user2530105253001
mbrazil :
Asante kaka
2026-11-12 18:32:38
1
wahaguwje
FYADE KAMA FYADE :
kwa heshima
2026-11-12 21:28:16
1
user241344494
rahumi :
kaka naomba unifundishe kurikodi ukiwa unaogea sm video call
2026-11-13 05:16:36
0
betty.kamete2
Betty Kamete :
asanta
2026-11-13 06:50:46
0
sadi8926
SADI🇹🇿🇧🇮🇨🇩 :
imetisha sana [Red heart][Red heart]
2026-11-12 21:55:45
0
djumahussain
I need help 🇸🇦🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 :
🥰
2026-11-12 21:31:09
0
mwanahawahsaidiab
hawa 🕊️🕊️🕊️🇦🇪 :
🥰🥰🥰
2026-11-12 18:16:41
1
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About