@gideonimathew: Wapo wanaotegemea uchawi na mizimu, ila tupo tunamtegemea Baba wa mbinguni na hatuta acha kumwamini. #gospel #jesus #trending #tanzaniantiktok🇹🇿

gideonimathew
gideonimathew
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 16:57:10 GMT
18616
2048
171
58

Music

Download

Comments

mogmbezi
MAN OF GOD MBEZI :
Asiyejua maisha ya kumtegemea MUNGU peke yake anaweza akadhani mmechanganyikiwa.Lkn "WAMNGOJEAO BWANA WATAPATA NGUVU MPYA"
2026-11-12 18:16:06
66
elongowuas7
@Elong'o🇰🇪🇺🇬🇹🇿 :
𝘈𝘮𝘦𝘯 𝘣𝘳𝘰𝘵𝘩𝘦𝘳 𝘴𝘵𝘦𝘢𝘬 𝘰𝘯 𝘵𝘩𝘢𝘵 𝘸𝘢𝘺 𝘣𝘳𝘰𝘵𝘩𝘦𝘳𝘴 𝘶𝘳 𝘢𝘳𝘦 𝘪𝘯 𝘢𝘨𝘰𝘰𝘥 𝘵𝘳𝘶𝘤𝘬 𝘱𝘳𝘰𝘮𝘪𝘴𝘦 𝘺𝘰𝘶 𝘨𝘶𝘺𝘴[Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-11-13 04:32:00
0
alton162
Altony tibiita's :
ameeeeeeeen, that's how things works, God bless you 🙏🙏💪💪
2026-11-13 03:27:36
0
eshimunimunisi
VIRUTUBISHO HALISI, :
Mungu akawafungulie kaka zangu endeleeni kumtegemea Mungu mkafanikiwe mkapate hayo madini kwa kiwango cha kujaa na kusukwasukwa na hata kumwagika Amen
2026-11-13 04:50:52
2
william_wls
William wls :
safi sana kumtegemea ni ushindi tosha pesa ni za Mungu
2026-11-12 17:47:33
16
user77106575395627
winfred :
in Jesus name amen 🙏🙏🙏
2026-11-13 00:47:54
0
___ree.fine
ree.fine___ :
Jesus is Lord
2026-11-13 00:45:10
0
luck.3900
luck 390 :
acha kutuingiza sisi kwenye maombi yako usituchonganishe tutakuwa wakali kidogo
2026-11-12 19:18:33
1
polinikimondo
polini Kimondo :
ubarikiwe kwa jina la YESU
2026-11-12 19:09:54
9
yeeeeeesu0
Gianna❤️ :
Kwa maombi haya lzm ashukee zingatia kwa neno lake🥰
2026-11-12 20:55:49
5
allex.car.finish
Allex car finish 🚘💦 :
mungu ndo kila kitu kwa kweli...
2026-11-12 17:04:28
9
joyce.maganga5
Joyce Maganga :
Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hautatikisika wakaa milele
2026-11-13 02:41:57
1
jacque2996
Jacque :
Amen 🥹🙏🏾❤️
2026-11-12 19:46:01
0
arcadojohn2
KADO FOREVER 👑 🦅 :
bila kuchoka 💪
2026-11-12 19:44:44
2
angelayaghambe
Chosen💪🥀 :
Mungu akutunze G
2026-11-12 20:44:37
2
mannucho07
Man Nucho😜💎 :
Mungu Akatutendee mema kila iitwapo leo atuepushe na ajali za migodini atufunike kwa damu Yake na atupe leo mkate wetu wa kila siku katika jina la mwanae Yesu kristo🙏🙏
2026-11-12 20:40:27
2
martin.sulle3
Martin Sulle :
Amtumainie Mungu hakika hata aibika kamwe
2026-11-12 17:08:55
4
neemamwaipungu2
Neema Ally :
Amina Mungu ni mkuu
2026-11-12 17:53:15
3
suleimanmnyama687
suleimanmnyama687 :
Amina 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌 🙌
2026-11-12 23:38:36
1
jazz.belinda
Jazz Belinda :
AMEN AMEN AMEN
2026-11-12 23:58:15
1
voicely77
Voicely :
Ishi na imani utafanikiwa
2026-11-12 21:48:17
1
samwel.jojo92
Andrew ess :
nimeitafta hii kwa miaka mingi huu ji ushuhuda tunaweza kuchimba madwara na yesu akajulikana kupitia kazi zetu🙏
2026-11-12 18:59:03
2
user5501484085457
user5501484085457 :
Mwenyezi Mungu akufanikishe hakika amtumainiaye bwnaa ni kama milma sayuni
2026-11-12 18:41:26
2
samboy11j
Samboy11 :
hakika. Mungu ajawahi kumwacha mtu wake.
2026-11-12 19:00:22
2
azory.emmanuel
Azory Emmanuel :
Amina mtumishi wa Mungu
2026-11-12 17:18:05
1
To see more videos from user @gideonimathew, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About