@minobongo25: Kwamujibu wa Tajiri @donfeza anasema chanzo cha Single Mother's kuwa wengi Ni wanaume, Single Mothers hawana makosa.

Mino.Bongo
Mino.Bongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 17:17:45 GMT
29587
1138
76
140

Music

Download

Comments

itsibrahimu2
Suzan john :
wewe kaka aliyekuzaa mungu amlinde🥰🥰
2026-11-13 04:53:13
7
daisydot46
Daisy dot1 tz :
Mungu alibariki tumbo alilotoka huyu kaka🥰❤️
2026-11-13 04:35:12
12
me_malice1
Queen_malice💜💜 :
nilikuwa naye kwa miaka 4 akiwa Hana mbele wala nyuma alikuwa kasoma nje lkn bahati ya Kazi akawa Hana uwepo wangu ukampa kazi nzuri sn nikabeba mimba miez 4 akaniambia Mimi ni laana hawezi nioa nitoe mimba. vipigo na kupewa kesi zisizo zangu nikaona nikimbie na tumbo langu.. sahv NI Dr mzuri Sana Hospital Fulani lkn hataki kujihusisha na chochote nimejitahd Hadi nimeamua kuacha🥰. NI Mwaka WA 3 sasa. ila Mungu yupo🙏🥰🫂
2026-11-13 04:26:32
2
user769798175310
user769798175310 :
Mungu akubariki wewe nakizazi chako kaka, na tumbo lililokuzaa limebarikiwa.🙏
2026-11-13 05:08:49
2
mziwandawakalembo
Mama BOY and DAUGHTERS 🙏❤️🦋 :
Hakiamungu Leo umeongea point kbsa
2026-11-12 19:42:08
25
blessedgee18
🫂🧿 :
mtetezi wetu yu hai❤️
2026-11-13 04:07:42
7
maryness40
MARYNESS :
Mungu akutunze umeongea point
2026-11-13 04:43:51
3
user2863733033376
happyness malisa :
Nakupenda ww kaka siwez kuishi bila ww😁😁
2026-11-12 20:07:14
6
zunaya001
Zunaya Outfit 🛍️ :
Kila mmoja ataelewa ni suala la mda tuu
2026-11-12 21:13:46
5
ntogoro6
ntogoro6 :
wambie sijui watakuxikia
2026-11-13 04:57:42
1
user18209350002433
291010 :
sio ss sema mimi
2026-11-12 17:57:15
2
user3409471842177
user3409471842177 :
kweli ibsa kaka😭😭
2026-11-13 04:39:11
1
hanima2940
HANIMA294 :
kweli kaka
2026-11-13 04:39:34
1
user9199403307539
user9199403307539cella zayden :
tell them
2026-11-13 05:15:11
0
winga110
WINGA WA MAWIGI☑️ :
Tumepata mtetezi
2026-11-12 19:31:58
7
user28477265757850
user2847726575785 catherine :
mungu akubariki! Baki ktk ukweli.
2026-11-12 20:21:24
5
she_zroyal
user3557114491912 :
kwel kaka
2026-11-13 04:28:22
1
mamagswax
Vyombo vya kishua swax :
wako wanawake wengine awataki kumilikiwa wala kutawalia
2026-11-12 18:56:58
0
dianadiva69
Divadiana_tz :
Njoo nikununulie soda bby🥰😁😁
2026-11-12 20:43:36
7
nancyally916
Nancy Ally :
kaka mungu akubaliki una ongea ukweli mtupu sisi wengine atuwezi kuvumilia maumivu
2026-11-12 22:22:25
2
mamajonson8
Mama jonson :
kweli kabisa kaka
2026-11-12 19:34:39
2
lisah.bangu
Lisah Bangu :
kweli jamn
2026-11-12 20:22:38
2
user28882761968133
bella💋 :
Bola umekuja tuteye brother wanaume wasie jielewa wapo tna. Hatal
2026-11-12 22:35:59
1
abbyjr281
@abbyjr28 :
afadhaliiii tumepata mtetezi akiiii
2026-11-12 17:50:29
3
madamu3636
madam💎💎 :
kaka wewe ndo umeongea ukweli
2026-11-13 04:20:03
1
To see more videos from user @minobongo25, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About