@96linktv: Washkaji wengi sana wanafeli kwenye maisha sio kwa Sababu wamerogwa Ila tu wanaume wengi wa kisasa wamekuwa wadhaifu Sana kwenye mapenzi. @farhankihamu_jr Unamaoni gani kwenye hili ✍🏾 #96link #tunakuunganisha
ingekuwa ni ivo wanaume wote tungekuwa masikini au tungekuwa hoi taaban mapenz hayatufelishi kwa maana mwanaume ni mtafutaji mda wote awe kwenye mapenz awe single awe ameumizwa au amefurahishwa yote hayo haifanyi mwanaume asitafute kwa sababu tumeumbiwa ivo mwanaume anashake kwa mda mfupi tuu anaendelea kupambana km kawaida
2026-11-13 12:39:53
4
Black_.dragon._delivery001 :
Bro ywaongea ukweli💯 but not again never ever
2026-11-13 06:00:58
2
KENEDY AYO :
Ni kweli bro uhakika asilimia zote
2026-11-13 21:09:12
1
bin maganga jr :
Mapenz ushamba tu
2026-11-13 13:32:40
2
A.I :
nligundua Hilo mda sana Kuna wengine hawawez kuishi bila kupendwa kiukwel mapenzi Yana Felisha sn nkiwa sngl pesa yng natumia mwenyew
2026-11-13 03:46:54
2
kinguluila8888 :
punguzeni u serious na mapenzi,ukiwa serious umeisha😂😂😂😂
2026-11-13 04:13:16
3
Dotto :
kaka unajuwa
moyo ukipenda ningum
kujizuia
achana namapenzi
kaka yamewatesa watu wengi
kaka
2026-11-13 18:11:26
2
amina juma :
uhakika broo
2026-11-13 20:21:54
1
Nashon Kiyenze :
sahihi
2026-11-15 13:14:35
0
Obi O Ma :
Hii n kwel mzee m ndo napambania come back
2026-11-15 21:13:09
0
johnsoncctvcamera :
sure
2026-11-14 20:10:09
0
kasyupa Nazmodel :
love
2026-11-12 17:58:49
0
Chanchico Chanchico :
Hilo nakubali kaka🤝
2026-11-22 16:16:53
0
FACEBREEZY OG :
upo sahihi
2026-11-14 06:41:33
0
Fadhor26 :
Kwel kaka hujakosea kabisaaaaa
2026-11-22 13:58:01
0
hanssy :
fact
2026-11-16 02:32:41
0
Abdallah Kambangwa :
2026-11-14 12:05:46
0
African 🇰🇪🇰🇪🇨🇩🇨🇩 :
kweli kaka
2026-11-14 09:01:08
0
Sanjay JR :
sahihi kbsa✅️
2026-11-12 19:16:35
0
To see more videos from user @96linktv, please go to the Tikwm
homepage.