@ali_wisdom: Ijumaa Mubarak 🤲❤️ Katika Ijumaa hii tukufu, Ewe Mola wetu, tunajikinga Kwako na maumivu yaliyozidi nguvu za nyoyo zetu, huzuni zinazotupokonya amani na machozi tunayoyaficha yasiyoonekana na yeyote isipokuwa wewe. Ewe Mola wetu, unajua yaliyo ndani ya vifua vyetu, basi zitulize nyoyo zetu na utupe faraja baada ya kila huzuni. Usituache peke yetu katika mapambano ambayo hakuna anayeyaona isipokuwa Wewe. Aamiin Yaa Rabbal ‘Aalamiin. #creatorsearchinsights #viralvideo #jummamubarak