Me Sijaelewa hivi huwa anatutambia au the main point is wote hatuwezi kuwa same level period!!!!!!!
2026-11-13 03:13:18
15
🦋lattifah 🦋⚘️ :
ukibalikiwa usitambe
😁
2026-11-13 04:58:10
1
Luyc😘 :
Mbon Kama anashida na wenye ndoa 😂😂😂
2026-11-13 04:34:28
9
FATIMA THE BEST :
nakula na kulala bure na allowance mwisho wa mwez napewa, na nnaish nyumba yenye paa ndefu unasemajee bint
2026-11-13 04:24:24
11
MÉLANINE CHARLOTTE ✨ :
Your right
2026-11-13 07:48:44
0
Eng pendo :
Ila Mungu ajifiche tu hivo hivo 😂😂
2026-11-13 04:49:25
6
azly🌹💕 :
Lakin si kila mtu Ana maisha yakee 😂au tunapangianaa
2026-11-13 06:28:49
2
lady of christ :
Akili za kuambiwa changanya na zako,humu mitandaoni kuna wenye maumivu ya kuachwa,kunawanaotamani ndoa na wanakosa,kunawanaoteseka na waume zao hawawapatii matumizi hivyo wanahasira na walioko kwenye ndoa,kunawakatisha tamaa pia.msije jichanganya ohooo
2026-11-13 05:36:33
6
ROSEZEGEGA :
ila mwanamke akifanikiwa 😂....
2026-11-13 05:06:31
3
magethaflowersmbeya :
sipew allowanci wala hela mezani na mtaji sijapewa najikongoja naanguka
2026-11-13 06:45:04
0
rebekakigoda :
jamani sio ndoa zote wanateseka acheni kupotosha watu kutoka nje bila sababu 😳
2026-11-13 05:09:49
0
self &I 🌹🇹🇿 :
hee sasa dreads imekufanyajev fifi nimelia sanaaa
2026-11-13 03:49:11
1
REHEMA THRIFT STORE 🎀☘️ :
Ongeza sauti dear
2026-11-12 21:53:20
2
✨️shipapy__suuh✨️ :
iyo janaa iyooooo😂😂
2026-11-13 07:27:13
0
MÉLANINE CHARLOTTE ✨ :
Ukimsikiliza bila makasirikooo unamuelewaaaaa vizuriii
2026-11-13 07:49:16
1
Ujack 💄 :
Sasa si nyie kila mtu ana uchanguzi wakeee Maisha ya watu usiyakebehi acha kuvunja ndoa za watuuu
2026-11-13 03:45:27
2
mariasenzighe :
Inafu is inafu 🙌
2026-11-13 06:15:05
0
Rose :
Uko sawa nisinge jijua mapema ninge tambaa ka mtoto
2026-11-13 06:25:42
0
navuri_store1 :
🥺🥺🥺 wenye dread woooooooooooh
2026-11-13 06:20:12
0
Rian Car accessories :
Leo unabaruzaaaaaa hadi raha 🔥🔥🔥
2026-11-13 07:08:55
0
fatmakolokolo :
yesss
2026-11-13 07:28:09
0
SABABA FOOD STORE🌾 :
allowance nataka na mezani aweke, pesa yangu inamatumiz mengne
2026-11-13 07:30:49
0
airenmedard :
maneno nimachungu Mungu nisaidie nipate mtaji nitapambana🥰
2026-11-12 23:25:11
0
To see more videos from user @eacvibes, please go to the Tikwm
homepage.