Bora nimemvuka huko nimepata tunaependana 🤲🏻 alhamdullilah
2026-11-12 23:10:02
38
Babe_Eyes :
Ukipendwa vizuri tu huwezi kuwa na visirani, hasira kiukweli me sijawahi kupendwa kabisa maana nina hasira na visirani muda wote me ni mkali
2026-11-13 14:57:24
5
martha :
Jana nimemwagiza aniletee chips kasema kasahau kumbe anipendi
2026-11-13 05:23:00
20
Nameless :
niliamua ku balance shobo wallah sai sina stress🥰🥰🥰🥰😁😁😁😁
2026-11-13 15:39:23
2
malkia huru :
Kikubwa mm nampend bc tutatumia upend wang usinishaul utanichangany
2026-11-13 14:06:26
3
Neema kibonge :
Kama tusipoelewa baaaas🙌🏽
2026-11-12 18:57:17
22
👑Tununu👑 :
Mama alisema… when a man loves you the only thing you should do is breath the rest is taken cared of!
2026-11-13 04:47:39
7
🥰zuuuh😍♥️ :
mm ua anaez sema subiri nitakupgia alaf anakimya adi siku ya pili😅nkimuulza anasema alisahau 😅na ujue n kla siku ye anasahau😂😂pia m nmejisahaulisha sai n wiki atuongei na anaview status😅
2026-11-13 13:41:24
1
Kathy :
Sipendwi na sijali 😂😂😂
2026-11-13 13:49:08
2
mimilicious🥀🦐 :
😂ongeza sauti kyaaaa😂😂😂
2026-11-13 10:09:03
2
aisha :
u make mi proud of you 🥰
2026-11-13 04:26:17
0
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
fact 💯
2026-11-13 13:17:46
1
Mtoto wa yesu :
kwahiyo kumbe upendo unapimwa kwa vitu unavyofanyiwa,,dada acha kudanganya jamii wapo watu wanapewa vitu vingi vya THAMANI ila hawajawai kunusa hata harufu ya upendo.upendo sio vitu wala kitu mnaweza kula chumvi na ugali ila mkawa mnapendana.
2026-11-13 12:41:38
1
chau :
anaekupenda ajizungushi
2026-11-13 14:43:27
1
🌏khalili :
ndio Nina cho kipitia na Nina watoto wa3 nifanyeje😭😭😭😭
2026-11-12 21:26:08
6
Grace Sichilima :
Ni kweli kabisaa dada
2026-11-13 11:14:31
1
MIRIAM 🥰 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩 :
sawa mi nime kuelewa sana 🤣 nina bwana ang mmoja tangia ameenda safar aja nipigia na mm sija mpigia ana angalia tu nilicho post status
2026-11-12 22:44:32
6
Mom Racine :
Asante sana
2026-11-13 12:53:59
1
Ukhty Ronie🌸 :
m mausiano yangu nmeamuwa t ninyamaze maan najikuta najipndekeza kwakee aisee
2026-11-13 15:33:29
1
Isabel❤️ :
sa nafanyaje kumuacha cwezi niliingia mazima na matukio napigwa kila cku
2026-11-12 21:03:39
4
mr dope :
shida tupo wachache.. acha tulinge
2026-11-12 19:03:56
3
Lavish fashion 🛍️ :
Hata mm simpend bn😂
2026-11-13 12:25:01
1
zuu :
ilo nikweli
2026-11-13 12:03:54
1
LOVELYTZ🙏🦋 :
Hapooo
2026-11-13 11:19:27
1
To see more videos from user @tuktane_, please go to the Tikwm
homepage.