mpokeeni kristo pekee ndiye safina kama ile ya noa
2026-11-13 09:53:23
7
martha :
mngu atuepushe
2026-11-13 04:27:27
4
Godfrey masumbuko :
shida ni Moja natafuta kujua hivi Hilo andiko Huwa nalisoma nalisoma Mimi nakuliwlewa peke yangu?? linasema siku za mwisho nitawamwagia roho yangu wazee wataota ndoto navijana wataona maono. Sasa swali langu ni kwamba kwanini vijana ndo wanaota ndoto kwa wingi!! kwan maandiko au neno la Mungu Huwa linatabia ya kugeuza mambo yaan badala wazee waote ndoto kama hivi, vijana ndo wanaota!!! sijui hii imekaaje, ila samahan kwa swali langu labda huwenda mm sijaelewa hili andiko, maana kunatofaut ya ndoto na maono.
2026-11-13 14:42:21
2
ELLY BAHATI🤦 :
MUNGU TU SAIDIE SANA
2026-11-13 09:13:21
7
Noah Smile :
God I need your guidance please don't let me lost 😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
2026-11-13 15:42:45
1
mom jaydan :
Yesu atusaidie saana kwakwel
2026-11-13 08:29:02
7
godbless :
hakuna kiumbe wala binadamu wakumzidi MUNGU kimawazo