@sauti_ya_kitaa_tv: #creatorsearchinsights @KINGDAVY BABANANII BRAND

sauti_ya_kitaa_tv Harmo lover
sauti_ya_kitaa_tv Harmo lover
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 12 November 2026 19:04:27 GMT
98317
3158
51
120

Music

Download

Comments

husseina20
Ha idhafinTV :
si jeshi ni police 🤣🤣
2026-11-13 05:32:24
1
fazul046
Fazuul yare :
hiyo si jeshi ni police 😁😁😁
2026-11-13 04:34:41
7
msanifu61
msanifu :
amiinaa
2026-11-12 19:38:46
1
isoewiki2026
MASABA SCHOOL :
ENGLISH PLZ
2026-11-13 00:55:12
2
officialldaudi.jo
officiallDaudi john :
hao ni police wa kenya
2026-11-13 22:22:51
0
omarovadnan
DHAMNA :
Sasa huyu kajaa hekmaa sio huyo wa kusema atatia watu vilemaa nimependa hekmaa Yako afande.
2026-11-13 09:10:32
5
user4817773744132
vice king v :
saf San PJ
2026-11-13 13:26:38
2
kendrick.joseph.ch
kendrick :
uyo polc ana hekimasana ndo inatakiwa kuwa na viongoz kama ao wenye hekm.
2026-11-13 17:36:11
2
pman8325
PMAN :
MBONA KAMA POLICE KAOGOPA
2026-11-14 11:21:50
0
lilianimilanzi
pACHUMA :
iLa kweli mpaka ni WA TANZANIA wanajisahau sisi mbona Hatupeleki Ng,ombe wetu kenya
2026-11-13 18:20:00
0
barakamuro437
BBM437 :
mwanajeshi karma ukweli kabisa
2026-11-13 19:52:52
0
zeadihassani6
zeadi Hassan :
alo jamaa nime mkubali kasema ukweli laivu 😂
2026-11-13 17:42:16
0
magulunnyundo
Magulu Nnyondo :
umetomea lugha nzuri sana kiongozi mitano tena
2026-11-13 20:46:22
0
mustafa.haji368
MUSTAFA HAJI :
Unaonea kweli kuhusu raini
2026-11-13 13:55:42
0
dismasdii
DII_fly boy🤑 :
jeshi la police la Tanzania 😂😂😂
2026-11-13 11:23:19
0
shomaripuga
Shomaripuga :
aaaaah
2026-11-13 18:02:00
0
user3800102750091
hamza ally :
polisi mpakani anafanya nini
2026-11-13 23:37:32
0
joeltajirikipamba
Joel Kipamba :
Polisi Anabembeleza Mwanajeshi Anatumia Order Ufanye ama usifanye Adabu utapewa tu
2026-11-13 12:41:10
2
habakkuk369
Habakkuk :
Mulot boys wamefika tz
2026-11-13 12:13:50
1
silvestermwita843
sele :
Afande samahani, tengua kauli eti tuna asili ya ubishi...🤣🤣🤣
2026-11-13 09:55:59
0
kehanch
Alvo jere :
ila nyinyi mkishika za KENYA mwahitisha pesa wa TZ
2026-11-13 04:34:39
0
tumainshoo193
Tumain Shoo :
wekeni ukuta hapo mkubwa .yani fense
2026-11-13 16:20:44
1
user5694925894729
ADAWE254 :
huko na huku ni kwao hao ni wamaasai wote ni kaka na dada
2026-11-12 21:01:03
3
ashukessygmail.com3
ashukessy :
kwenye mipaka kujengwe ukuta ili kuondoa migogoro
2026-11-14 10:38:16
0
idrisa.mgaya3
baba wawili97 :
jeshi linatishia wananchi????dah tunapoelekeaaa tutakua kama gaza
2026-11-13 06:23:26
0
To see more videos from user @sauti_ya_kitaa_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About