@vitendo_na_sauti: #MwakaMmojaWaUongozi #UongoziUnaoachaAlama #tiktokzanzibar

DR MWINYI VITENDO VINA SAUTI
DR MWINYI VITENDO VINA SAUTI
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 12 November 2026 23:40:06 GMT
35160
1363
66
125

Music

Download

Comments

cholo.dukani
cholo dukani :
pesa wanaiba ikesha wanaenda kukamuwa wafanyabiashara ndogo za mitaji ya mikopo
2026-11-13 05:48:57
14
user7699125576849
Makfish Duma :
asalam waleykum mweshimiwa mwenyezi mungu akuweke miaka uje ugombee Tena upendi uwovu ufanyike
2026-11-13 07:12:46
7
kimjijera
Fatma :
usiwaacheee zanzibar kwanzaaaa proud of you president of zanzibar 💯💥👏👏👏
2026-11-13 13:02:44
2
seleman4673
gadaf :
kisha uyo alohusika uchunguzi ukikamilika fukuza kazi kisha pesa azilipe zoteee weshazowea awoo muheshimiwa kuibaa
2026-11-13 07:30:23
3
hassan.gomaz
Hassan Gomaz :
duuuuuu hatari sana wafanyakazi wa afya wana risk maisha yao kuna watu wanaondoka na mabilioni ya wananchi burebure
2026-11-13 06:32:48
3
shau.messi
shau messi :
wizi wafeza hawafungwi nchii wanasimamishwa kazi tu lkn kishajikusanyia mabilioni ya feza Wala hashuhuliki..iba kuku ss uone
2026-11-13 08:21:46
6
confideusrobert
confideusrobert :
Na huku bara kama Waziri mkuu kwenye ziara zake angechukua misimamo ya Dr.Shen ingetupa matunaini.
2026-11-13 11:30:05
4
hassan.omar625
Hassan Omar :
wanasimamishwa kwanza wakatumia ela walizo iba
2026-11-13 09:14:11
1
amina.kanduru
Emmykan :
mbona kazeeka Rais wangu mpenzi.
2026-11-13 04:35:32
1
kitoto416
Hamas.26 :
Nyinyi munaiba sasaivi munajidai hazijuilikani zilipoenda munapajuwa vizur sana... wizi wakubwa..
2026-11-13 15:44:58
1
pepechee58
pepechee :
majambazi wako wengi sana sio hapo tu chunguza na kwengine
2026-11-13 13:46:13
1
mama.muu7
Mama Muu :
badilisha weka vijana
2026-11-13 13:06:13
1
ranny2310
ranny :
Binadam sisamaki angalia Kaz zake na sio mwili wke
2026-11-13 11:09:48
2
nailamohamed56
mamanaa :
Asante doctor
2026-11-13 11:16:53
2
chida050
chida050 :
Pole ila hawa hawafai
2026-11-13 13:46:25
1
waa.nabhaan
waa Nabhaan :
Nyie hii ya lini?
2026-11-13 12:23:53
1
19gee
G..hustler :
salute
2026-11-13 12:06:41
1
user1672404509619
user1672404509619 :
👍
2026-11-13 12:39:22
1
khamis.mimba
Khamis Mimba :
faini barabarani zinatutia ufukara
2026-11-13 14:26:48
1
ukanga24
Abuu Nawfal :
Mh: na shirika la umeme nao pia maana wanakusanya fedha nyingi halafu wananunua vifaa vya bei ya chini than wanasingizia mega volt ⚡️kidogo na kusema matumizi yameongezeka.nao ipo haja yakuundwa board maalum yakuchukuza hilo wachoke kujitetea uongo nakuwaunguzia wananchi vifaa vyao
2026-11-13 13:41:48
1
user37920595800125
Thobias Thomas :
mpenda maendeleo ila nina jambo nataka kuteta kidogo ?serikali ya Zanzibari ina poteza mapato mengi kwa upande wa sekita binafsi idala ujenzi husisa vijana tunatumikishwa bila ya mikataba utalatibu wa malipo yasiyo kuwa lasimi
2026-11-13 13:25:21
1
omarabdlurasu
king_omar :
Wao wanadhani Bakhresa mjinga , Rais wetu Allah akuzidishie nguvu maana kuna watu wapo kuchafua heshima za watu
2026-11-13 07:32:53
2
mussa.said433
Mussa Said :
kiongozi makini
2026-11-13 08:38:07
2
omarabdlurasu
king_omar :
Subhanallah
2026-11-13 07:29:58
1
mruta.katondo
Mruta Katondo :
safi sana doctor
2026-11-13 06:47:37
2
To see more videos from user @vitendo_na_sauti, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About