Sijui kwann ujumbe huu umekuja Leo kwangu Mungu anakusud na mimi
2026-11-13 09:18:20
10
junior :
Nakupenda sana Neemaya Mungu izidi juu yako
2026-11-13 04:19:49
26
Diana Agostino momba :
nataman nipate ata uyo mume mwenye mtoto or watot ili t nijenge familia njema ya kumtumikia mung lakn sipati wala sionekan ya mpk najihic sifai katikati ya watu wanaofaa mbele za watu... yan najisikia vibay san juu ya hili jambo