@ammar_rito: Mtu anapo kuambia maneno haya unaskia vipi? #othmanmaalim

ammar
ammar
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 13 November 2026 01:40:37 GMT
9816
2569
40
138

Music

Download

Comments

muhammad_umar960
Umar👳🏽‍♂️ :
Aisee ukiona kama utani ila ivi vitu vipo marehem brother allah amrehem alinikabiz adi kadi zake za benk. Na akaniambia ujitahd utakapokua free na na nikitoka apa salama twende nikakuoneshe viwanja vyangu nilimuuguza mda ulipofika kulud kazin nikamuaga nikarud job ila sku mbili kazaa napigiwa cm naambiwa kaka ako anatulaumu anasema kwa nn umeondoka anataka uwepo apa kila mda😭😭 sikuweza coz ruhusa yangu iliisha siku 5 mbele naambiwa kaka ako inna lillah wa inna lillah rajiun acha tuu usiombe ikukute
2026-11-20 04:00:47
11
abou0zily
Abuzir😎 :
kifo tu kisikie tuh ndug zangu kinaumiza mno 🥺 Allah atupe mwisho mwema 😭😭
2026-11-18 20:18:42
12
aziza.ramadhani6
Aziza Ramadhani :
dah baba angu alinmbia mneno ayo na alikufa 🥺😭😭😭
2026-11-19 12:30:12
3
dogomiri.507
DOGO MIRI TZ🇹🇿 :
Yaah Allah tunakuomba utujaalie khusnil khaatimah Aameen🤲
2026-11-19 18:26:32
2
mariam.khalidy8
mariam khalidy :
mashaaallah tujaaalie ya allah mwisho mwemaaw
2026-11-20 12:00:46
2
fatman_al_haraasy
fatma_al_haraasy.990 :
subuhana All inauma
2026-11-20 10:40:19
1
kinana4903
kinana :
inaumiza sanna hio kauli ikitoka kwa mtu wako unaempenda sanna!!
2026-11-20 07:40:42
1
husinaaliy
husina,aliy :
Allah Allah tujalie mwisho mwema
2026-11-19 13:57:43
1
nasr.lema
Nasr Lema :
hayaelezeki hata😂😂😂
2026-11-19 08:32:46
0
jenipha.majuto5
babu :
YANI IOSIKU NITALIA SANAA
2026-11-19 19:13:54
0
ummuamin01
Eshabukheth🥰🥰💖 :
SubhanALLAH
2026-11-19 11:01:48
1
zamil.creed0
Zamil_03.🦅 :
dah!
2026-11-20 12:01:49
0
justinacosmas
jumanasalma :
2026-11-19 07:49:48
0
jenipha.majuto5
babu :
2026-11-19 19:14:09
0
zanzibariangirl
ummu_Ayad_🥀🌹🍃 :
2026-11-20 18:59:02
0
kaleel678
Kaleel 🤴🏻 :
💔
2026-11-16 21:06:47
0
izhan_tz
𝑰𝒛𝒉𝒂𝒏_𝒕𝒛 🇹🇿 :
2026-11-20 06:17:00
0
adayyam
adayyam :
2026-11-18 19:11:09
0
sheemasi.omar
Sheemasi Omar :
2026-11-19 08:29:34
0
king_arab_killer5
king Arab killer :
2026-11-18 18:44:15
0
bin.suweyd
Bin suweyd :
kwa huu ummah wetu sidhani kama Kuna mtu yuwakikaribisha kifo namna hio...hakuna mwenye uhakika na msamaha wa ALLAH
2026-11-19 02:46:06
0
akiff.yusuph
Akiff Yusuph :
🥰🥰🥰
2026-11-19 20:35:27
0
user4095826126128
Mustafa :
🥹🥹🥹
2026-11-19 17:22:37
0
bablii_24
Bablii B🍏£ :
😭😭
2026-11-13 16:39:59
0
To see more videos from user @ammar_rito, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About